Thadei Kweka aachiwa huru

Kuna uzi niliuliza 'kwani huyu hana pp ya USA' tumshtue Trump? Hii nchi kuna wajinga watamponza mtu soon.
 
💯
 
TOKA MAKTABA :
Prof. Palamagamba Kabudi - Kwa wivu mkubwa wa soveriniti , kamwe hatutapiga magoti !

“NASEMA KAMWE HATUTAPIGA MAGOTI, TUMEONA VIHOJA VYAO”-WAZIRI KABUDI​


View: https://m.youtube.com/watch?v=kifc7RT840A
Watu wapuuzi kama huyu Kabuti, ukombozi wa Tanzania utakapokamilika inafaa siku moja wawekwe hadharani waTanzania wawazomee, na wanaotaka, hata kuwatemea mate wakitaka.
Watu wapumbavu wa aina ya huyu wamechangia sana kuwapa ujasiri wateuzi wao kuwanyanyasa waTanzania..

Kama hawa akina Kabuti; akina Bashite, akina madelu Nchemba na wengine wa aina yao hawataweza kushtakiwa moja kwa moja juu ya makosa yaliyosababishwa na utawala mbovu huu, adhabu yao itolewe na wananchi kwa kuzomewa na kutupiwa matakataka kwa kushiriki kwao kwenye maovu.
 
Hawa, kuna siku yao ikifika wasiachwe. Ni muhimu wakumbushwe nafasi zao walizochangia katika udhalilishaji wa waTanzania.

Kila mmoja wao atakumbushwa nafasi yake aliyochangia katika dhurma waliyofanyiwa waTanzania..

Orodha yao tutaanza kuiandaa na ushahidi wa michango yao katika kuwaumiza waTanzania.
 
hao venuzera wenyew wameshindwa kumtoa maduro mpk trump kaja kumtoa, Ishu sio unyonge tatizo wanatumia vyombo vya ulinzi kupambana na raia na raia hao hao hawana silaha yoyote
True
 
Hivi lile sinema lao la mwanajeshi feki wa Marekani mwenye suti kama wachungaji wa Mbeya iliishia wapi??

Bongo kweli nyosoooo 😹😹😹😹
vipi umeanza kufua boxa
 
Na hukumu au Maamuzi ya siku hiyo yalikuwaje ?
Sikumbuki vizuri, maana hakuna kesi hapo bali ni kumkomoa huyo jamaa. Katika mazingira hayo usitegemee utaratibu halisi kufuatwa.
 
 
Delta force, they don't play games, they mean business. alafu anakuja mtu anashika kiuno na kusema who are you? Nchi ambayo bado inaomba pesa za miradi ya kuchimba visima vya maji, nchi ambayo haiwezi kutengeneza hata engine oil? nchi ambayo wakuu wa vyombo vya usalama wanapewa maelekezo na Abdul Amer, utaweza kweli kupambana na mifumo ya mabeberu? Majitu yenye technology ya hali ya juu ,uchumi mkubwa na wenye weredi wa kiwango cha juu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…