GE2025 Thabit Kombo: Mpaka sasa hakuna matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Makumbele

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2009
Posts
241
Reaction score
1,056
IMG_8680.jpeg

Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Mahmoud Thabit Kombo, amekanusha madai ya matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji wanaopinga zoezi la Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29.

Akizungumza na kituo cha televisheni cha Al-Jazeera siku ya Ijumaa, Waziri Kombo amesema hadi sasa hakuna ushahidi unaoonyesha kuwa vikosi vya usalama vimetumia nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji hao.

Aidha, alibainisha kuwa serikali haina takwimu rasmi kuhusu idadi ya waliopoteza maisha.
 
View attachment 3496347

Faki zati mazafaka!
 
Tulikuwa tunasifiwa sana anasema waziri Kombo tarehe 23 Julai 2025 .... msikilize hapa chini :

TOKA MAKTABA :

23 Julai 2025
WAZIRI MHE. KOMBO AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU KUFANYIKA KWA MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI LA SIASA, ULINZI NA USALAMA NCHI WANACHAMA SADC

View: https://m.youtube.com/watch?v=gdHfZeVrgG4
 
View attachment 3496347

Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Mahmoud Thabit Kombo, amekanusha madai ya matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji wanaopinga zoezi la Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29.

Akizungumza na kituo cha televisheni cha Al-Jazeera siku ya Ijumaa, Waziri Kombo amesema hadi sasa hakuna ushahidi unaoonyesha kuwa vikosi vya usalama vimetumia nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji hao.

Aidha, alibainisha kuwa serikali haina takwimu rasmi kuhusu idadi ya waliopoteza maisha.
Huyu mseengee atembelewe na kurejesha kwao akiwa kwenye sanduku nyambaff kabisa. Hata hivyo, tumshukuru kwa kuzidi kumwaga mafuta kwenye moto
 
View attachment 3496347

Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Mahmoud Thabit Kombo, amekanusha madai ya matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji wanaopinga zoezi la Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29.

Akizungumza na kituo cha televisheni cha Al-Jazeera siku ya Ijumaa, Waziri Kombo amesema hadi sasa hakuna ushahidi unaoonyesha kuwa vikosi vya usalama vimetumia nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji hao.

Aidha, alibainisha kuwa serikali haina takwimu rasmi kuhusu idadi ya waliopoteza maisha.
Hatuna mawaziri because baraza limevunjwa kwa ajili ya uchaguzi. huyu jamaa anaongea kwa mamlaka gani?
 
Back
Top Bottom