waziri kombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo asisitiza ushiriki wa wanawake katika amani ya maziwa makuu

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amesema ushiriki wa wanawake katika michakato ya amani ni muhimu katika kupata suluhisho endelevu kwa changamoto za usalama katika eneo la Maziwa Makuu, hususan Mashariki mwa Jamhuri ya...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo asalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio UN, New York

    Wakati wa kuingia katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, akiwa pamoja na First Lady wa Marekani, Melania Trump, na ujumbe wa Marekani, alisimama kumsalimia Mheshimiwa Dkt. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amuwakilisha Makamu wa Rais kwa Rais wa Mfuko wa OPEC

    Mheshimiwa Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo, (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, alimwakilisha Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius John Ndejembi kwenye mazungumzo na Dkt. Abudlhamid Alkhalifa, Rais wa Mfuko wa Maendeleo wa OPEC...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amuaga Balozi wa Vatican nchini

    WAZIRI KOMBO AMUAGA BALOZI WA VATICAN NCHINI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), ameishukuru Vatican kwa mchango wake katika kuimarisha uhusiano wa muda mrefu na wa kirafiki na Tanzania. Akizungumza wakati wa kumuaga Balozi wa...
  5. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Katambi, Kombo wakutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) Duniani

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Balozi Mahmoud Thabit Kombo wamekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM),Amy Pope ambae ameongozana Mkurugenzi wa Kikanda wa Pembe ya Afrika Mashariki...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mambo ya Nje ni kiungo muhimu katika mafanikio ya serikali - Waziri Kombo

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa Wizara kupitia Balozi zake duniani imekuwa kiungo muhimu cha kufanikisha na kuchochea mafanikio ya Serikali katika sekta zote nchini, iwe kilimo, uchukuzi, biashara au nishati. Waziri Kombo...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amuaga Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini

    Waziri Kombo amuaga Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kuagana na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Christine Grau, kufuatia kukamilika kwa muda wake wa uwakilishi nchini. Katika...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Balozi mteule wa Ujerumani awasilisha nakala za hati za utambulisho kwa waziri Kombo

    BALOZI MTEULE WA UJERUMANI AWASILISHA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO KWA WAZIRI KOMBO Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amepokea nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na katibu mkuu wa OACPS, wakazia mageuzi na ushirikiano wa kimkakati

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Afrika, Karibiani na Pasifiki (OACPS), Mhe. Moussa Saleh Batraki, katika mazungumzo yaliyolenga kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na OACPS...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ampokea Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri

    Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mheshimiwa Abdel Fattah EL-Sisi, amewasili jijini Dar es Salaam Julai 18,2026, kuanza ziara ya Kitaifa ya siku moja kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ziara hii itahusisha mazungumzo kati ya...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na ujumbe maalum wa Rais wa DRC

    WAZIRI KOMBO AKUTANA NA UJUMBE MAALUM WA RAIS WA DRC Waziri Kombo Akutana na Mjumbe Maalumu wa Rais wa DRC Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Mahmoud Thabit Kombo, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Ushirikiano wa Kikanda wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amuaga balozi wa Sweden hapa nchini

    WAZIRI KOMBO AMUAGA BALOZI WA SWEDEN HAPA NCHINI. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), tarehe 17 Julai, 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Sweden hapa nchini Mhe. Charlotta Ozaki Macias, ambaye anamaliza muda wake...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Balozi wa China nchini Tanzania

    WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), 14 Julai, 2026 amekutana na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania Mhe. Chen Mingjian kwa mazungumzo yaliyolenga kuimarisha...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashiriki kongamano la Kiswahili na maadhimisho ya pili siku ya Kiswahili duniani Paris

    WAZIRI KOMBO ASHIRIKI KONGAMANO LA KISWAHILI NA MAADHIMISHO YA PILI YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI PARIS Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo, ameshiriki Kongamano la Kiswahili pamoja na Maadhimisho ya Pili ya Kimataifa ya Siku ya...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Sanaa wa waziri kombo kuvizia watu koridoni na kuwapa kale kakitabu cha Nyerere na picha za haraka ni aibu kwake

    Kuna mambo muelezwi wanao yaona huko. Huyu waziri kombo anaweza kukupa kile kitabu au kinyago kama zawadi mara kuomba picha na wewe. Mwisho wa siku habari tanzania kwenye vyombo vyetu vya hisabati tuna ambiwa kombo kapatana na mabeberu. Hii tabia ya huyu mtu hata CV yake nikiisoma naona tuna...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ateta na Bi. Hooker wa Wizara ya Mambo ya Nje Marekani

    WAZIRI KOMBO ATETA NA BI. HOOKER WA WIZARA YA MAMBO YA NJE MAREKANI. Tanzania na Marekani zimeonyesha dhamira ya kuendeleza uhusiano wa kidiplomasia baada ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), kukutana na Afisa Mkuu wa Masuala ya Kisiasa...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amkabidhi Guterres ujumbe wa Rais Samia

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, na kusisitiza dhamira ya Tanzania ya...
  18. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo afikisha salamu za Rais Samia kwa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, na kusisitiza dhamira ya Tanzania ya...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mabalozi wa EU wakutana na Waziri Kombo Dar es Salaam

    Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) leo Juni 8, 2026 wamefanya mazungumzo ya kisiasa ya ngazi ya juu na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo jijini Dar es Salaam. Taarifa iliyopatilana kupitia ukurasa wa X wa Umoja wa Ulaya (EU)...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo: Ziara ya Rais Samia Urusi imeleta 'Mtikisiko' wa Dunia

    Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Kombo ameeleza kuwa ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan nchini Urusi, imeleta "mtikisiko chanya" wenye athari kubwa ulimwenguni kote, na si kwa Tanzania pekee. Akizungumza na waandishi wa habari, Waziri huyo alikiri na...
Back
Top Bottom