Thaanks JF People Tumeshinda Na Mbarikiwe!!

Status
Not open for further replies.
Pamoja na kuwa hatujui mmeshinda nini hasa, wanasema ngazi za vitongoji. Ni jambo jema kuanzia huko kuliko kutaka vya juu kwanza
 
Alikosea pa kuanzia na kujenga system akakimbilia kutoa rushwa na kupiga picha na wabunge wa upinzani akidhani wanadaganyika na rushwa yake hakujua kama ukiwapa rushwa wanakamua harafu wanakuchinjia baharini.....

The guy is not strategic. Anaonekana kuwa anabonyezabonyeza buttons kubahatisha kitakachotoka ndio hichohicho. What kind of 21st leadership is that? Ukiwa na wacheza chess watamanga kete zako zote
 
Mabaharia wote wahuni. Le Mutuz sio wa kwanza....@ W.J. Malecela hufai kuwa hata mjumbe wa shina.
 
Mkuu kama ni ule uchaguzi wa Kivukoni basi hongera kwa ushindi. Mkuu kama umeshinda basi unaanza kuwa kiongozi hivyo basi na taarifa zako zinatakiwa kuwa ni taarifa zinazotoka kwa kiongozi na wala si kama hii ambayo haieleweki. Big show unamaanisha yule mpigana mieleka wa WWE?
You're very wrong au kwa makusudi umeamuwa kujikomba kwa huyu William, si yeye aliyeshinda uchaguzi huo wa kata, bali dau alilotoa ndio limeshinda, usimpe moyo wala kumdanganya mwenzako eti ameanza kuwa kiongozi, kiongozi wa nini? huyu jamaa kwa sababu anahusika husika kidogo hapa JF ni bora hata apewe kazi ya kuwa Moderator anaweza akawa anafanya jambo la msingi kuliko mtu wa umri wake kujihusisha na siasa za ngazi ya kata. huyu amedanganywa na amepotoka. Period.
 
OK MY PEOPLE BAADA YA USHINDI WA LEO TUNAKUWA:-

- MJUMBE WA WAZAZI WA MKOA DSM: MJUMBE WA CCM WILAYA; KATIBU MWENEZI WA WAZAZI KATA YA KIVUKONI; KATIBU FEDHA; ELIMU; NA MAZINGARA NA PIA MJUMBE WA KAMATI YA SIASA YA KATA:

- AGAIN MAJUKUMU MAPYA NI MAZITO SANA SO HELP ME GOD; HATUTAKUWA NA MUDA TENA WA KUWEPO HUKU JF UNAJUA KUWAWAKILISHA WANANCHI SIO MAMBO MCHEZO MCHEZO NA MZAHA MZAHA IF YOU KNOW WHAT I MEAN NINAWAKILISHA KATA NAMBARI ONE AMBAYO RAIS WA SASA WA JAMHURI MPAKA LEO BADO NI MJUMBE HAI WA KAMATI YA SIASA NA HAMLAMSHAURI KUU YAKE; KATA YENYE WAKUU WA TAIFA WA SASA NA WA ZAMANI WOTE WAPO HAPA SO UNDERSTAND THAT PEOPLE!! HA! HA! HA! HA! KWAMBA SASA TUPO VIWANJA TOFAUTI KABISAA YO KNOW!!

- NAWASHUKURU SANA WANANCHI KATA YA KIVUKONI FOR PUTTING THEIR TRUST IN ME; MENGI NITAKAYO YAFANYA UTAYASIKIA KWENYE TV ZA CLOUDS NA MLIMANI LEO DID A GREAT INTERVIEWS NAO HOJA YANGU YA MSINGI NI KUTORIDHIKA KWANGU NA KUKUTA WATU WALIOSHIKA NAFASI ZA UONGOZI KWA MUDA MREFU WASIVYOTAKA KUTOKA MPAKA KWA MAGOMVI, INASIKITISHA SANA!! KWENYE HIZI CHAGUZI NILIZOSHIRIKI NIMEJIONEA MAMBO YA AIBU SANA NA I LEARNED A LESSON HAKUNA UCHAGUZI MDOGO YOTE NI SAWA CAUSE FITINA NI ILE ILE NA WATU NI WA AINA ILE ILE!!

- AGAIN; RESPECT MUCH NA LEO I HAD A GREAT TALK NA MHESHIMIWA MAJI MAREFU KWENYE MPIRA WAO WA LEO, NA PIA HAD A GREAT TIME NA MABEBS WA UKWEEEE LIKE MY BABY SINTAH JLO; SUPER WEMA SEPETU; SUPER WOLPER HUKU VIP YOU KNOW GUYS WERE JUST RELAXING AND HAVING FUN YOU KNOW WHAT I MEAN!! HA! HA! HA! HA! HA! HA! I MEAN IT WAS JUST WASAP YOU KNOW!!!

- SO LOVE YAH GUYS NA KWAHERI YA KUONANA TENA MUNGU AKIPENDA YOU KNOW!! UKINITAFUTA NIPO FACEBOOK NA Le Mutuz Super Blog or Le Mutuz Super Blog YOU KNOW!!

SALUTE PEOPLE!!

LE MUTUZ BAHARIA SUPER BIIG SHOOOW!!!
 
Lol! Wewe kweli big show!
U never cease to amaze me sugar boy, kha! So utarudi tena kuomba prayers? Hatutakuwa level moja tena? Mara tutakuwa busy? Unaongelea kama ushindi ni wetu pamoja, but now you are in another level lakini utapatikana fesibuku!

Haya, salamia mabebs wa ukwee,mweh!
OK MY PEOPLE BAADA YA USHINDI WA LEO TUNAKUWA:....

- HATUTAKUWA NA MUDA TENA WA KUWEPO HUKU JF UNAJUA KUWAWAKILISHA WANANCHI SIO MAMBO MCHEZO MCHEZO NA MZAHA MZAHA IF YOU KNOW WHAT I MEAN NINAWAKILISHA KATA NAMBARI ONE AMBAYO RAIS WA SASA WA JAMHURI MPAKA LEO BADO NI MJUMBE HAI.....SO UNDERSTAND THAT PEOPLE!! HA! HA! HA! HA! KWAMBA SASA TUPO VIWANJA TOFAUTI KABISAA YO KNOW!!

- SO LOVE YAH GUYS NA KWAHERI YA KUONANA TENA MUNGU AKIPENDA YOU KNOW!! UKINITAFUTA NIPO FACEBOOK NA Le Mutuz Super Blog or Le Mutuz Super Blog YOU KNOW!!

SALUTE PEOPLE!!

LE MUTUZ BAHARIA SUPER BIIG SHOOOW!!!
 
Rudi kwenye kazi yako ya ubaharia usituchanganye bure hapa.

Naskia huko kwenye ubaharia walikuwa wanamnanihii mpaka babake na nduguze wakapata habari na kumtaka arudi TZ na kuwa watamtafutia la kufanya(siasa), kurudi kwenye kazi hiyo ya ubaharia inabidi akaidi matakwa ya mzazi wake, na ni jambo ambalo anaweza kulifanya iwapo 'ile hamu' ikimzidia!
 
Kidogokidogo le mutuz.. utafika tu.. fitna za wana jf zisikurudishe nyuma
 
Lol! Wewe kweli big show! U never cease to amaze me sugar boy, kha! So utarudi tena kuomba prayers? Hatutakuwa level moja tena? Mara tutakuwa busy? Unaongelea kama ushindi ni wetu pamoja, but now you are in another level lakini utapatikana fesibuku! Haya, salamia mabebs wa ukwee,mweh!
huyo ndio Le mutuz, anakwambia sasa anamajukumu mazito hvy hamtamuona jf bali facebook,anakwambia alikua angnjoy na kina Sinta (jlo) wa bongo, Le mutuz, Le baharia,le big show, le MTAMBO WA GONGO
 
Ushuzi mtupu, sasa kama wewe ndiye mwakilishi kwenye kata waliomo viongozi wa kitaifa unaongea ushuzi huu ni aibu kwa wale waliokupigia kura. Kuna watu wana majukumu kuliko hata ya kwako na bado wanaleta mada zao za maana humu JF. Sasa leo kupata shavu kwenye kata imekuwa nongwa..."oh hatutakuwa na muda wa kuwepo JF kwa sababu ya majukumu" Sasa ukiwa Katibu mwenezi Taifa, mbona itakuwa nongwa.Hata husipoonekana humu, bado watu wataendelea kujadili mambo ya maana kuliko hayo ya JLO, sijui Super Wolper, Wema Sepetu, and Maji Marefu.

Umepigania kuwa kiongozi, umepata. Sasa badilisha taswira na misemo yako kwa jamii.....ni ushauri tu but si lazima uufuate.
 
OK MY PEOPLE BAADA YA USHINDI WA LEO TUNAKUWA:-

- MJUMBE WA WAZAZI WA MKOA DSM: MJUMBE WA CCM WILAYA; KATIBU MWENEZI WA WAZAZI KATA YA KIVUKONI; KATIBU FEDHA; ELIMU; NA MAZINGARA NA PIA MJUMBE WA KAMATI YA SIASA YA KATA:

- AGAIN MAJUKUMU MAPYA NI MAZITO SANA SO HELP ME GOD; HATUTAKUWA NA MUDA TENA WA KUWEPO HUKU JF UNAJUA KUWAWAKILISHA WANANCHI SIO MAMBO MCHEZO MCHEZO NA MZAHA MZAHA IF YOU KNOW WHAT I MEAN NINAWAKILISHA KATA NAMBARI ONE AMBAYO RAIS WA SASA WA JAMHURI MPAKA LEO BADO NI MJUMBE HAI WA KAMATI YA SIASA NA HAMLAMSHAURI KUU YAKE; KATA YENYE WAKUU WA TAIFA WA SASA NA WA ZAMANI WOTE WAPO HAPA SO UNDERSTAND THAT PEOPLE!! HA! HA! HA! HA! KWAMBA SASA TUPO VIWANJA TOFAUTI KABISAA YO KNOW!!

- NAWASHUKURU SANA WANANCHI KATA YA KIVUKONI FOR PUTTING THEIR TRUST IN ME; MENGI NITAKAYO YAFANYA UTAYASIKIA KWENYE TV ZA CLOUDS NA MLIMANI LEO DID A GREAT INTERVIEWS NAO HOJA YANGU YA MSINGI NI KUTORIDHIKA KWANGU NA KUKUTA WATU WALIOSHIKA NAFASI ZA UONGOZI KWA MUDA MREFU WASIVYOTAKA KUTOKA MPAKA KWA MAGOMVI, INASIKITISHA SANA!! KWENYE HIZI CHAGUZI NILIZOSHIRIKI NIMEJIONEA MAMBO YA AIBU SANA NA I LEARNED A LESSON HAKUNA UCHAGUZI MDOGO YOTE NI SAWA CAUSE FITINA NI ILE ILE NA WATU NI WA AINA ILE ILE!!

- AGAIN; RESPECT MUCH NA LEO I HAD A GREAT TALK NA MHESHIMIWA MAJI MAREFU KWENYE MPIRA WAO WA LEO, NA PIA HAD A GREAT TIME NA MABEBS WA UKWEEEE LIKE MY BABY SINTAH JLO; SUPER WEMA SEPETU; SUPER WOLPER HUKU VIP YOU KNOW GUYS WERE JUST RELAXING AND HAVING FUN YOU KNOW WHAT I MEAN!! HA! HA! HA! HA! HA! HA! I MEAN IT WAS JUST WASAP YOU KNOW!!!

- SO LOVE YAH GUYS NA KWAHERI YA KUONANA TENA MUNGU AKIPENDA YOU KNOW!! UKINITAFUTA NIPO FACEBOOK NA Le Mutuz Super Blog or Le Mutuz Super Blog YOU KNOW!!

SALUTE PEOPLE!!

LE MUTUZ BAHARIA SUPER BIIG SHOOOW!!!

Le Mutuz Big Show.
Yaani kupata uongozi wa kata ndio unajifanya upo busy na umeamua kuondoka JF unakimbia changamoto hujui JF ni shule kwako, kila la heli msalimie Sintah na Wema Sepetu.
 
hivi hawa watu wanaakili kweli yaani wanamchagua willium kuwa kiongizi! Kweli ccm imeishiwa
 
You're very wrong au kwa makusudi umeamuwa kujikomba kwa huyu William, si yeye aliyeshinda uchaguzi huo wa kata, bali dau alilotoa ndio limeshinda, usimpe moyo wala kumdanganya mwenzako eti ameanza kuwa kiongozi, kiongozi wa nini? huyu jamaa kwa sababu anahusika husika kidogo hapa JF ni bora hata apewe kazi ya kuwa Moderator anaweza akawa anafanya jambo la msingi kuliko mtu wa umri wake kujihusisha na siasa za ngazi ya kata. huyu amedanganywa na amepotoka. Period.

Mkuu Matola usitake kumiliki mawazo ya watu wengine humu JF. Kama kilichoshinda ni dau lake mimi sijui. Nimetoa ushauri tu kwake ili atoe taarifa zinazoeleweka badala ya taarifa kama hizi ambazo amezitoa humu. Sina sababu wala sihitaji kujikomba kwa mtu yeyote humu JF ama nje ya JF na sina sababu ya kumtukana ama kumkashifu mtu yeyote humu JF ama nje ya JF na sina sababu ya kujimilikisha mawazo ama kufisha mawazo ya wachangiaji hapa JF.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom