TGIF: Sababu iliyomfanya JK atake Urais (Picha)

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
32,960
2,000
Kwanza:


Kisha:Kisha:


Kisha:


Kisha:


Kisha:


Kisha:


Kisha:


Kisha:


Kisha:


zaidi:


Na hapa napo:


Na nyongeza:


Hata huku:

don't forget this one:


What about this with Tony?

sometimes he does this..


Finally, he probably does this:

SWALI:

Ni kipi hasa kwa kuangalia picha unafikiri kilimfanya autake Urais kuanzia 1995 na akiondoka 2010 anaweza kusema atakuwa amefanikiwa kukipata?
 

BabaH

JF-Expert Member
Jan 25, 2008
704
225
wazo katika picha zote hizo "I'm the President"!
Picha nyingi zimeonyesha kikwete akiwa safari za njee kuliko hapa Tz, hii manake ni kuwa President alitaka uraisi ili
kujulikana sana ama kutaka sifa za kusema naye alikwa raisi wa TZ
Kupata safari nyingi, ili aje kuadithia siku moja mafanikio yake ya kuzunguka nchi mbali mbali.

Na akuta uraisi kwa ajili ya kuinua nchi yetu hata kidogo, waliofumbuliwa na kubalikiwa wanaweza kuchanganua picha hizi na kuja na maana halisi ya raisi wetu kushindwa kwake katika utekelezaji wake

Lakini ajabu, mambo yale yale 2010, loooh, NDO TULIVYO ETI
 

Kinyambiss

JF-Expert Member
Dec 2, 2007
1,374
1,195
from da one. this guy amekuwa akisaka kitu kimoja.. sio hela.. sio safari za nje.. sio kutumikia taifa but U-TOP.. anapenda POWER.. ndio kilevi chake.. well that and (cough coough) **** u know the other1.lol
 

Mutu

JF-Expert Member
Mar 30, 2008
1,331
0
kwa Series hii picha kwanza inaonyesha alikuwa nataka kuiti, kuilinda na kuifuata katiba ya TZ,Kuwa amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama,akwautwaa uwenyekiti wa cha mapema kabla ya muda wake akawa na marungu yote ya chama na serikali kwa kuwa alitangaza kasi mpya,nguvu mpya na hali mpya basi akapewa mapema aonyeshe mbwembwe zake,akaanza safari za nje mara nyingine akiwa na misafara mikubwa ya wafanya biashara I didn't see the point !akawajibika sana kwenye michezo kama asili yake ,na kuendelea kutanganza kasi ,hali mpya sijuhi ni hizi tunazo ziona au tutegemea nyingine,akashiliki na shughuli za jamii za kuhamasisha .Sasa naona yupo ofisini kusikilizia TZ inavyokwenda.
Lugha ya picha ndugu ni fasihi na kutafsiri fasihi ni kazi ya fanani mmoja mmoja.Nawe basi tupe yako tafsiri.
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
32,960
2,000
mimi nadhani anapenda:

kupigiwa saluti
Kupigiwa makofi
Kupigwa picha na viongozi wengine wakiwa wanapigiwa saluti
 

Sir Leem

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
576
225
Kama kumhukumu kwa picha the hata Nyerere,Mwinyi na Mkapa unaweza pata picha za namana hizo!Kwa kweli tumechoka na hizo propagana as if tunazo ziangalia picha hizi ni matahira!Pls Mwanakijiji You can not brainwash kila mtu Please!!!
 

Mutu

JF-Expert Member
Mar 30, 2008
1,331
0
Kama kumhukumu kwa picha the hata Nyerere,Mwinyi na Mkapa unaweza pata picha za namana hizo!Kwa kweli tumechoka na hizo propagana as if tunazo ziangalia picha hizi ni matahira!Pls Mwanakijiji You can not brainwash kila mtu Please!!!
Mkuu umeaambiwa utowe maoni yako kwa kuangalia picha sasa ni juu yako kuwa na mawazo chanya au hasi kulingana na picha.
 

Mpita Njia

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
7,005
2,000
Kama kumhukumu kwa picha the hata Nyerere,Mwinyi na Mkapa unaweza pata picha za namana hizo!Kwa kweli tumechoka na hizo propagana as if tunazo ziangalia picha hizi ni matahira!Pls Mwanakijiji You can not brainwash kila mtu Please!!!
Anazungumziwa Kikwete, wewe unacomment kuhusu mwanakijiji! Ipo sehemu anapojadiliwa huyo mwanakijiji, nenga huko, acha hapa watuwakate issues. Kama maoni yanayotolewa yanakuudhi, pingana nayo kwa hoja, si kuanzisha mada nyingine ndani ya mada. Please
 

KakindoMaster

JF-Expert Member
Dec 5, 2006
1,357
1,225
Kama kumhukumu kwa picha the hata Nyerere,Mwinyi na Mkapa unaweza pata picha za namana hizo!Kwa kweli tumechoka na hizo propagana as if tunazo ziangalia picha hizi ni matahira!Pls Mwanakijiji You can not brainwash kila mtu Please!!!

Mkuu sir leem

Hizi picha hakuzipiga Mwanakijiji, kama zinaonekana ni Mzuri na zinampa sifa wewe sema ni mzuri sana na zinapendeza.
 

MwanaHabari

JF-Expert Member
Nov 9, 2006
444
0
He is in Love with "the IDEA OF BEING PRESIDENT" (the usual..first class travel, press, meeting famous people, luxury hotels etc)
and he is not really doing the job of being the President of the people....(EXAMPLE: SINCE HE WAS ELECTED HE HAS NEVER TRAVELED TO MBEYA (he has been to the states 5 times in 2 and a half yrs!)- a very productive region, also responsible for our regional trade as it has border crossings with 2 countries, produces electricity, big food producers..etc, etc)

JK was never in it for the people, just the money and fame. Watu tulivyomsema huyu kuhusu uwezo wake wakati anagombania uraisi, wengi tulipigwa madongo, tukasema sawa, ngojeni muone uwezo wa huyu jamaa.

Now three yrs on....No Muafaka, No arrests for BOT, he formed a committee to deal with recommendation of another committee...all accused of corruption in the party are still there, even though the rules are clear that they should go...the list is endless...


 

Morani75

JF-Expert Member
Mar 1, 2007
619
0
Asante Kada.... weekend nayo ndiyo inayoyoma taraaatiiiibuuuuuuu.... Wiki njema Wakulu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom