TGIF: Sababu iliyomfanya JK atake Urais (Picha)

Shaycas

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2009
Messages
902
Points
225

Shaycas

JF-Expert Member
Joined Feb 13, 2009
902 225
Jamaa alipenda kupigiwa saluti za majeshi hasa kwenye shughuli za kitaifa na mataifa.
Atakalo kuwa amefanikiwa ni pamoja na kupigiwa saluti na mizinga 21 za kijeshi na hata nchi anazoenda kuomba misaada
 

Sahiba

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2008
Messages
303
Points
0

Sahiba

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2008
303 0
Ndugu Mwanakijiji,

Kwa heshima na taadhima tungekuomba labda utueleze lile ulilolikusudia kutueleza na sisi tukuhukumu wewe na sio kuturushia hii thread.Sidhani kama ni fair kumjudge mtu kwa kutuonyesha picha,aidha unalako wataka kulisema na hujui uanze vipi so unataka baadhi ya wasiojua mambo ya siasa waropoke.ukituuliza sisi fikra zetu tutakwambia Mwanakijiji anajitayarisha kujifanyia ama kumfanyia mtu ama kikundi fulani kampeni.Tuko tayari kukusikiliza hoja zako ila tunakuomba uwe muwazi. Think Twice.

SAHIBA.
 

Forum statistics

Threads 1,390,538
Members 528,186
Posts 34,054,021
Top