TGIF: Sababu iliyomfanya JK atake Urais (Picha)

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
3,747
0
Anyway,

Si ajabu mnabishana kitoto na mtoto mwenzako hapa jamboforums maana mko hapa kuharibu mada na kuleta ubishi usio na mwelekeo.

Katika hili endelea kubisha na kuleta michezo yako. Nilijaribu kutoa ushauri kwako. Na kwa response yako, nimeamini kuwa wewe unanimiliki kwa sababu hata mungu ni mtanganyika.

Asante kwa hili, turudi kwenye mada na kinachoengelewa kwenye topic hii!

definition yako ya mtoto ni ipi ?? halafu niambie kama nafit kuitwa mtoto. jata kama kuna watoto hapa JF, kipi kigeni kwako ? wataje hao watoto.

Basi usilie yakhe, maana niliona unazidisha speed wakati naku-OWN bana ! sasa napata uradi wangu, nalog off na nitakuwa on nitakapoamua !
 
Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
4,528
2,000
He is in Love with "the IDEA OF BEING PRESIDENT" (the usual..first class travel, press, meeting famous people, luxury hotels etc)..the list is endless...

77413530.jpg

Jamani,

Why did he have to kiss the Pope's hands or pete? Shouldn't the kissing of Pete au Mikono ya Papa be something only a Catholic will do?

I am a damn protestant and I would never kiss the Pope's hands or ring, why would JK who is a Muslim do this? A hand shake would have been enough especiallty from someone from different faith!

Just curious!

What if by our traditions of Ukumbasi any visitor has to hold and rub the sack of nuts of the chief? would the Pope reach down the sack of nuts to pay homage and respect to Chief Wagagakikikoko?
 
Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
4,528
2,000
Mweeeee

Umenikumbusha mbali sana. Unakumbuka Rais Kikwete akilihutubia taifa alisema kwamba mitambo ya Richmond iliwa tayari imeshafika bandarini? Ikawa usiku, ikawa mchana mitambo haikuwepo bandarini mpaka ilipofika mitambo kanyaboya kupitia pale airport kwa dege kubwa lililopigwa picha nyingi kama ile ya Bush? Hivi ni mimi pia niliyekula dili na kumfanya Rais atoe taarifa potofu? Halafu Rais Kikwete aliporudi toka Marekani alisema alikutana na watu wa Richmond, moja ya safari zake za mwanzoni mwanzoni; hivi ni mimi nilikula dili naye akasema hayo? Hivi ni watu gani hao wa Richmond aliyekutana nao wakati huo akasema mambo poa?....LOL

JJ

Yohana,

Tuletee nukuu kamili ya hayo maandishi mekundu hapo juu. Napata shida na kiwewe kusikia Mukubwa wa Kaya alijitapa kukutana na hawa Matapeli! Hivi ni nani aliwapa hawa matapeli kibali cha kunywa togwa na chifu wetu?

This is very serious and it shows that the President himself endorsed the idea of Richmond by meeting them.

I need the dates that he met them! Please mwenye nyeti zimwage hapa tumkome nyani giladi!
 
Mwanagenzi

JF-Expert Member
Sep 11, 2006
690
1,250
...

Now three yrs on....No Muafaka, No arrests for BOT, he formed a committee to deal with recommendation of another committee...all accused of corruption in the party are still there, even though the rules are clear that they should go...the list is endless...

MBONA BALALI ALISHAKAMATWA NA KULETWA BONGO KIMYA KIMYA SIKU NYINGI?
 
Shalom

JF-Expert Member
Jun 17, 2007
1,315
1,250
Shalom yuko wapi siku hizi jamani eeh ?
FD na sie tusioelewa je inakuwaje ?

Nimeona utoto wako hapa kada. Hongera sana kwa hilo. Hongera kwa kutibua mijadala inayotaka kuhakikisha kuwa mama zetu akiwamo mama yako wanapokwenda kujifungua wanarudi salama na watoto wao na kuleta furaha kwa familia na siyo kama sasa ambapo kila mtu anauma kidole kama mama atarudi salama.

Hongera kwa kuzima mijadala inayotaka kuleta heshima kwa mama zetu akiwamo na mama yako ambao sasa hivi wanadandiwa na wahuni kwa kisingizio cha kugombania daladala

Mungu akubariki kwa kuamua kwa dhati kabisa kuwatetea watu wachache wenye kiu ya utajiri wa ajabu ambao wamelitumbukiza taifa kwenye bei ya umeme kali ambayo hata kwa middle class hawaiwezi sasa sijui mama yangu na yako walio huko kijijini watamudu huo umeme. wewe bila aibu unaleta utoto wako hapa na utani mwingi. Mungu akupe rehema .

Nakusikitikia sana kwa hiyo kazi, usilete utani kwenye maisha ya watu bwana. Fanya utani wote kwa maisha yako bwana na siyo ya wengine. wenzio walioambiwa na wakadhani wamejificha hawata kamatika ni Saddam, samwel doe, na kadhalika.

Hivyo acha watu waendelee kujadiri mambo ya maana na wewe uchangie kwa hoja pale panapofaa. Mimi nipo
 
TechMaro

Senior Member
Feb 8, 2008
102
170

Ni vema watu wakajua kwamba sio wakati wote they have to post their views. Kuna wakati wa kusoma, kama huna cha kuandika then unapata mawazo ya wenzako....

Hongera sana Shalom for making this clear to KadaMpinzani. Kitu kimoja anajua anachokifanya, and it is too bad, kwani moyo wake ushanunuliwa na hao anaowatetea, amekuwa kipofu asiyejua anapoelekea. Tatizo jingine wakati wenzake wanachukua mabilioni, yeye wanampa vijisenti na kumpongeza kwamba anafanya kazi nzuri sana, huku akiondoka wanamcheka kwa upumbavu uliomjaa.

Kitu kimoja ni kwamba huyu Kada amekuwa akifanikiwa sana kupindisha mada hapa JF, tena pale watu wanapoanza kujibishana nae. Cha kufanya ni kumwacha tu peke yake, kutokumjibu mpumbavu, kwani kwa kufanya hivyo utakuwa pamoja nae mko sawa.

Please people IGNORE HUYU KADAMPINZANI.....especially MWK, kwani amekuwa akifanikiwa sana kukuingiza kwenye majibishano. Ni jinsi nionavyo, natoa ushauri tu.
 
Habarindiyohiyo

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
263
0
Rais Kikwete

Songa mbele, achana nao hao wanaotaka kukwaza ununuzi wa mitambo ya Dowans. Nia unayo, sababu unayo, uwezo unao. Nunua mitambo hiyo

......ndiyohiyo
 
Mtanzania

JF-Expert Member
May 4, 2006
4,814
2,000
Mzee Mwanakijiji,

Mimi nimeipenda hiyo ya JK mpanda miti, looh! mpaka unawekewa mkeka pa kukanyaga? Kweli URAHISI ni mtamu!
 
Mama Mdogo

JF-Expert Member
Nov 21, 2007
2,951
2,000
Kama kumhukumu kwa picha the hata Nyerere,Mwinyi na Mkapa unaweza pata picha za namana hizo!Kwa kweli tumechoka na hizo propagana as if tunazo ziangalia picha hizi ni matahira!Pls Mwanakijiji You can not brainwash kila mtu Please!!!

Sir Leem, MKJJ alichofanya ni kuwasilisha ujumbe kwa picha, kama wewe waona wasomaji wanapigwa brainwash, hayo ni maono yako. Hivyo ungesema bayana 'MKJJ huwezi kuni brainwash mimi nimekusitukia' . Mwache kila msomaji atafakari kivyake na usiseme lYou can not brainwash kila mtu Please!!!. The message had been sent, tutafakari.
 
Mundu

JF-Expert Member
Sep 26, 2008
2,707
2,000
Hii collection ya mzee mwanakijiji ni sawa na zile album za dansi... ze best of his excellency Jakaya Mlisho Kikwete
 
Son of Alaska

JF-Expert Member
Jun 2, 2008
2,813
0
tanzania is in such a state,that whoever repeat whoever was president would make no diffrence. A NEW president would appear on the scene,in a matter of months tanzanians would be disillusioned and start taking potholes at him/her.it seems to be an historic destiny for tanzania to stand still while others run,no wonder our neighbours call us a nation of kiswahili kingi.
 
MawazoMatatu

JF-Expert Member
Sep 6, 2008
505
195
Mi nilichoona kwenye picha pamoja na taarifa ambayo picha hizo zimebeba ila ofisi ya rais wa jamhuri ya muungano wa TZ haina mpangilio mzuri,vitu vimerundikana na rangi hazivutii (kuanzia kuta mpaka pazia)! yaani inabeba taswira ya watu wenyewe tulivyo!
 
Bulesi

Platinum Member
May 14, 2008
10,302
2,000
Kama kumhukumu kwa picha the hata Nyerere,Mwinyi na Mkapa unaweza pata picha za namana hizo!Kwa kweli tumechoka na hizo propagana as if tunazo ziangalia picha hizi ni matahira!Pls Mwanakijiji You can not brainwash kila mtu Please!!!

Yuo can only be brainwashed if you are dumb enough to be brainwashed!!
 
jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
23,603
2,000
Yaani.. kuna vitu huwa vinashangaza.. ati mkeka shambani..!

Mkeka huwa unatumika shambani wakati wa mapumziko ya lunch,mnachaguwa chini ya mti wenye kivuli mnatandika mkeka mnakula ugali kubwa mnarudi shamba kuendelea na kazi,lakini si kufanya kazi kwenye mkeka shambani,sijui ni mfano gani huu,ndio maana kilimo ni hovyo na mambo mengine kwasababu ya uswahili kila mahali,rais ukionyesha mfano wa mkulima ama mfanyakazi uonyeshe mano ki kweli kweli na si kwa minajili ya propaganda.
 
jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
23,603
2,000
Jamani,

Why did he have to kiss the Pope's hands or pete? Shouldn't the kissing of Pete au Mikono ya Papa be something only a Catholic will do?

I am a damn protestant and I would never kiss the Pope's hands or ring, why would JK who is a Muslim do this? A hand shake would have been enough especiallty from someone from different faith!

Just curious!

What if by our traditions of Ukumbasi any visitor has to hold and rub the sack of nuts of the chief? would the Pope reach down the sack of nuts to pay homage and respect to Chief Wagagakikikoko?

Reverand,ndio politics hizo,hakuna reality ni propaganda....Kama ana guarantee ya kura za waislam,then za wakristu nazo anazitaka pia,haya yote ni just symbolic for political purposes,
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
23,115
2,000
..hapo kwenye computer monitor naona kama kuna image ya kijarida cha Mwanakijiji-Cheche. ah, labda macho yangu tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions
Thread starter Title Forum Replies Date
donlucchese #TGIF Jamii Photos 1
donlucchese TGIF...!!! Jamii Photos 7
donlucchese Kazi ipo...#TGIF Jamii Photos 9
Kukudume2013 Hii ndio sababu... Jamii Photos 1
Love Doctor Sababu ya wanaume kufa mapema ni wanawake Jamii Photos 4

Similar Discussions

Top Bottom