TFF yafungua shauri dhidi ya Ofisa wa Yanga, Haji Manara baada ya kudaiwa kuzozana na Rais Karia

kwani Manara ameanza kutukana watu leo? Kumbuka amewahi kuwaita nyinyi Yanga wote wapuuzi kasoro Baba yake na JK.
neno "upuuzi" ni la utani si matusi, hata kuitwa "mjinga" si tusi!

Hivi Kolo FC mbona makombe ya Yanga yamewauma sana? Mnataka kumtoa Haji kafara ili mjipoze au kuivuruga Yanga?

Tutaifunua kwa ngivu mioyo yenu Kolo FC wote tuone kiwango cha hasira uchungu ghadhabu na chuki mlizojaza!! na bado Ngao ya jamii tunafumua mshono!!
 
Your browser is not able to display this video.
Sekretarieti ya TFF imefungua shauri mbele ya Kamati ya Maadili dhidi ya ofisa wa Yanga SC, Haji Manara kutokana vitendo vya ukiukwaji wa maadili. Mitandaoni imesambaa video ikimuonesha Manara akizozana na Rais wa TFF, Wallace Karia wakati wa fainali ya Kombe la Shirikisho, Julai 2, 2022
 
vyovyote lakini kwa comment hii Manara alikuwa sawa
 
Dhahiri

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Atasema anachukiwa kutokana na ulemavu wake wa ngozi,
Utadhani maadui zake ndio walimtuma akagombane
 
Binafsi sijawahi kumkubali Manara tangu akiwa katibu mwenezi wa ccm Dar.

Mnaomjuwa Manara kuanzia Simba mmechelewa sana kumfahamu huyo mpuuzi.
Kuna shabiki mmoja wa Yanga aliwahi kuniambia kuwa Jamaa ana tatizo la afya hawezi kutulia mpaka amparue mtu kwa vyovyote vile.

Nilimkatalia, lakini kwasasa anayoyafanya najilaumu kwanini nilimpinga bila kufanya utafiti, Jamaa anajiona sana.
 
Kwa hili la usajili nasimama na manara tm zetu zinapigwa sana
 
Kuna shabiki mmoja wa Yanga aliwahi kuniambia kuwa Jamaa ana tatizo la afya hawezi kutulia mpaka amparue mtu kwa vyovyote vile.

Nilimkatalia, lakini kwasasa anayoyafanya najilaumu kwanini nilimpiga bila kufanya utafiti, Jamaa anajiona sana.
Binadamu yeyote yuke anayejihesabia haki kuliko wengine ana matatizo ya akili, Jerry Muro alifungiwa kwa ajili ya mpuuzi huyuhuyu.

Kama kuna kitu GSM ametukosea wana Yanga ni kumleta Yanga huyu punguwani, kila sehemu anajiona yeye mjuwaji, ameshakuwa na bifu na Maulid Kitenge kwa kujifanya mjuwaji, leo anajiaminisha kati yake na Billionaire Mo Dewji eti yeye huyu mgonjwa wa akili anaweza kuwa na ushawishi kumzidi Tajiri Mo Dewji.
 
🤣🤣 Jemedari kausukumia mkosi wa Zungu jeusi huko kwa Tff . Sasa jamaa ajipange kisaikolojia na nafikiri hatma ikiwa tofauti na siasa atapigwa BAAAAN la milele🤣🤣🤣
 
Kwa hili la usajili nasimama na manara tm zetu zinapigwa sana
Kwani hizo timu zenu ni lini wametowa pesa za usajiri mpaka useme mnapigwa? Yanga imetowa pesa ya club kumsajili Mayele? Au Simba imetowa Pesa ya club kumsajili Chama? Mnapigwa wapi sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…