TFF yamjibu Haji Manara

Cicadulina

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
961
2,345
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Kidao Wilfred amesikitishwa na madai ya aliyekuwa Ofisa wa klabu ya Yanga, Haji Manara kuwa alimuomba msamaha kwa maelezo kuwa Rais wa TFF, Wallace Karia alifanya makosa.

Kidao amesema maneno hayo si ya kweli, na Sekretarieti ya TFF haina nafasi ya kuendelea kuzungumzia jambo ambalo tayari limetolewa uamuzi na chombo huru cha TFF.

Julai 21 mwaka huu Kamati ya Maadili ya TFF ilimfungia Manara kujihusisha na mpira wa miguu ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili, na kumpiga faini ya sh. milioni 20 kwa kosa la kumtishia na kumdhalilisha Rais wa TFF.

1658757347409.png
 
TFF inastahili kutukanwa mara 1000 mahela yote wanakusanya wanashindwa kuliendeleza soko la bongo kisa ni kuchumia tumbo, siasa, uyanga na Usimba 🤧🤧
 
Muda mwingne huruma inaumiza sana
Karia ungemuacha huyu mtu kifungoni ili akuze brand yake vizuri
 
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Kidao Wilfred amesikitishwa na madai ya aliyekuwa Ofisa wa klabu ya Yanga, Haji Manara kuwa alimuomba msamaha kwa maelezo kuwa Rais wa TFF, Wallace Karia alifanya makosa.

Kidao amesema maneno hayo si ya kweli, na Sekretarieti ya TFF haina nafasi ya kuendelea kuzungumzia jambo ambalo tayari limetolewa uamuzi na chombo huru cha TFF.

Julai 21 mwaka huu Kamati ya Maadili ya TFF ilimfungia Manara kujihusisha na mpira wa miguu ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili, na kumpiga faini ya sh. milioni 20 kwa kosa la kumtishia na kumdhalilisha Rais wa TFF.

View attachment 2303469

Nswaambia hakuna atakaemuweza Haji…
Kuna Jitu kuuubwa liko nyuma yake…
Kina Wambura walifungiwa now wapo Kimyaa yeye anapiga Kifua na Inawezekana amehakikishiwa aendelee kuongea atakavyo
 
Back
Top Bottom