STDVII
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 1,629
- 692
Ndugu wanajanvi, amini usiamini,. Taarifa rasmi kutoka ndani ya CC ni kuwa wafuatao wamepasua
1. Edward Lowassa
2. Dr Bilali
3.Asha Rose Mingiro
4. Augustine Ramadhani
5. Professor Mwandosya
Ngoja tuona halmashauri itakuwa je>
Kamati kuu inakutana usiku huu umepata wapi habari hii