Tetesi :onyo kwa mashabiki wa arsenal | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tetesi :onyo kwa mashabiki wa arsenal

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Kintiku, Aug 19, 2011.

1. K

Kintiku JF-Expert Member

#1
Aug 19, 2011
Joined: Feb 3, 2011
Messages: 611
Likes Received: 72
Trophy Points: 45
Katika utafiti uliofanyika kwenye hospital ya Muhimbili, imebainika kuwa asilimia 80% ya watu wenye umri kati ya miaka 15- 57 nchini Tanzania wanaosumbuliwa na ugonjwa wa moyo ni mashabiki wa Arsenal.

Kwa mujibu wa Dr Mwandamizi wa magonjwa ya moyo toka kitengo cha moyo (jina limehifadhiwa), alisema aliamua kufanya utafiti huo baada ya kuona wagonjwa wengi ambao wamekuwa wakifikishwa hapo wanakuwa wamevaa jezi za timu ya Arsenal, halafu wamekuwa wakijisonya sonya aah Wenger, Fabregas, Van Persie etc.

Aligundua kuwa mioyo ya mashabiki wa Arsenal huwa juu juu sana timu yao inapocheza kwani hugongeana pasi sana na mtu hufikiri kuwa sasa wanafunga bao, hivyo kujiandaa kushangilia..............gooo gooo gooooo aaaaaaaaaaaaaaah, basi moyo unakuwa unapanda na kushuka kitu ambacho ni hatari sana . Hivyo wengi hujikuta wanapata magonjwa ya moyo.

Katika utafiti huo alikuwa na sampuli ya wagonjwa 1,000 kutoka nchini kote, na 60% walisema wao ni mashabiki wa Arsenal

Source: Unpublished report of Dr................

2. B

Bucad Senior Member

#2
Aug 19, 2011
Joined: Aug 15, 2011
Messages: 120
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Ebwana huo utafiti ni wa ukweli kabisaaaaa!na nimeukubali haswa!mbona mfano mzuri ni wenger mwenyewe afya yake kila kukicha inazidi zorota utakuta mara aanze kuvua koti mara alegeze tai mara aanze kunywa maji hovyo utasema labda yeye ndiye anayecheza mara aanze kupiga mateke chupa ya ani hizo zote ni dalili za pressure na hata akili zake kama unakuwa makini sometimes unaona kabisa zinapoteza network.sasa njoo kwa vitoto vyake!mungu wangu kila siku vinadumaa badala ya kukua na wale waliobahatika kukua wanastuka na kukimbia na kiukweli msimu huu nina uhakika tutawizika mashabiki wengi wa arsenal na hata wenger sijui kama atamaliza msimu salama kutokana na matitizo hayo!

3. LiverpoolFC

LiverpoolFC JF-Expert Member

#3
Aug 19, 2011
Joined: Apr 12, 2011
Messages: 11,001
Likes Received: 153
Trophy Points: 160
Mi nawaonea huruma sana ktk mechi ya kesho itakayopigwa 2:45pm ya hapo East Africa. Cha zaidi ni huyo doctor ajiandae kuwapokea wagonjwa wengi. Luisz Suaressssss!!!! Ndani ya nyumba. Patachimbika.

4. SILENT WHISPER

SILENT WHISPER JF-Expert Member

#4
Aug 19, 2011
Joined: Jun 26, 2009
Messages: 2,231
Likes Received: 53
Trophy Points: 145
crap..! WATU WALIOANZA KUSHABIKIA MECHI JUZI UTAWAJUA TU..! ..players move....sisi wakongwe wa ushabiki tulishazoea..!

5. Viper

Viper JF-Expert Member

#5
Aug 19, 2011
Joined: Dec 21, 2007
Messages: 3,665
Likes Received: 44
Trophy Points: 145
Mods hii ipelekwe kwenye lile jukwaa Jokes na Utani .. haijakaa ki sports !

6. Henge

Henge JF-Expert Member

#6
Aug 19, 2011
Joined: May 14, 2009
Messages: 6,767
Likes Received: 78
Trophy Points: 145
MASABURI YANAFANYA KAZI Yake!

7. Ringo Edmund

Ringo Edmund JF-Expert Member

#7
Aug 19, 2011
Joined: May 10, 2010
Messages: 4,895
Likes Received: 28
Trophy Points: 0
kwa taarifa yako hakuna mashabiki wenye roho ngumu kama wa arsenal,liverpool hao unaowasema ni man u.
mfano ni fagason huyu mzee anatumia big g zenye dawa ya kubalansi mapigo ya moyo.
wenga ni mfano wa watu wenye afya nzuri duniani wengine ni putin,obama,sarkozy,maurinho nk.wenye bp fargason,mubarak,mfaransa aliyeondoka liva,na wengine wote wenye vitambi.
pumzisha hayo masaburi kwani unayachosha kwa kufikiri mashudu.

8. Jaguar

Jaguar JF-Expert Member

#8
Aug 19, 2011
Joined: Mar 6, 2011
Messages: 3,409
Likes Received: 22
Trophy Points: 135

sijui wanakumbuka mechi yao ManYoo dhidi ya barca,mzee fergie atetema kama saddam anavishwa kitanzi.

9. K

Kintiku JF-Expert Member

#9
Aug 19, 2011
Joined: Feb 3, 2011
Messages: 611
Likes Received: 72
Trophy Points: 45
Kwa kutambua hilo kesho FA wameandaa ambulance tatu spesho kwa ajili ya kuwahisha mashabiki wa Arsenal hospital. Ambulance mbili zitakuwa na cardiologists na mitambo ya huduma ya kwanza kwa mgonjwa aliyepata shambulizi la moyo.

Source: Yahoo!

10. K

Kintiku JF-Expert Member

#10
Aug 21, 2011
Joined: Feb 3, 2011
Messages: 611
Likes Received: 72
Trophy Points: 45
Arsenal wamefanya tena- mashabiki watatu wameanguka uwanjani ambulance zimewabeba- mlioangalia mechi ya leo mmeona. Hapa Dar tunasubiri ripoti ya Muhimbili kesho

11. Mshume Kiyate

Mshume Kiyate JF-Expert Member

#11
Aug 21, 2011
Joined: Feb 27, 2011
Messages: 6,774
Likes Received: 22
Trophy Points: 135
Unatafuta vita na mashabiki wa Arsenal

12. mchemsho

mchemsho JF-Expert Member

#12
Aug 21, 2011
Joined: Jun 8, 2011
Messages: 3,158
Likes Received: 143
Trophy Points: 160

whatever..! hata tufungwe mimi ni aseno sio maniyuuu.!

13. Washawasha

Washawasha JF-Expert Member

#13
Aug 23, 2011
Joined: Aug 7, 2006
Messages: 8,701
Likes Received: 427
Trophy Points: 180
tuwe Wazalendo tuzipende timu ze2 hizo za wazungu tuwaachie wenyewe. Mie ni mshabiki wa Mapweza Fc

14. SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

#14
Aug 23, 2011
Joined: Aug 25, 2010
Messages: 7,081
Likes Received: 1,819
Trophy Points: 280
Basi mwaka huu kwa mwenendo wa Arsenal FC mmmmmnnnhh wengi wao watakufa na high blood pressure

15. K

Kintiku JF-Expert Member

#15
Aug 29, 2011
Joined: Feb 3, 2011
Messages: 611
Likes Received: 72
Trophy Points: 45
Mhh,

Jamani ilikuwa shughuli pevu maana mashabiki wa Arsenal badala ya kupata matatizo ya moyo tu, kufungwa huko kuliambatana na kuhara pia. It is the right time the man in charge to say gooodbye. Msipofanya shinikizo jamaa kuondoka mtaendelea kupata cardiac arrhythmia etc.

16. j

jitu la kale Member

#16
Aug 30, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 69
Likes Received: 2
Trophy Points: 15
Wazungu hawapendi unene,wenger kaishi sn japan,kule chakula chao ni samaki na mboga mboga kwa wingi,Wafrika tunaamini kwenye vitambi na kunenepeana hadi unapumua ovyo ovyo kama...,aka tyson wa kulala bungen ndo kuwa na pesa.WENGER ana afya timamu kuzidi hata Fagie.

17. FaizaFoxy

FaizaFoxy JF-Expert Member

#17
Aug 30, 2011
Joined: Apr 13, 2011
Messages: 58,107
Likes Received: 22,163
Trophy Points: 280
Dahh, huu utafiti una ka ukweli ingawa wa kutunga. Gozi langu toka jana limenuna na swaum hizi ndio usiseme, naogopa hata kumsemesha, hasira zake za kufungwa asinimalizie mimi.. lol.

18. Also me

Also me Member

#18
Aug 30, 2011
Joined: Aug 17, 2011
Messages: 67
Likes Received: 0
Trophy Points: 13
.....dah! hawa majamaa cku hzi wamekuwa wabunifu, 2meamua 2waite
ARSENAAANE!....

19. Shine

Shine JF-Expert Member

#19
Aug 30, 2011
Joined: Feb 5, 2011
Messages: 11,514
Likes Received: 16
Trophy Points: 0

Utafiti wa kufikirika na wakijuha

20. Cha Moto

Cha Moto JF-Expert Member

#20
Aug 31, 2011
Joined: Jul 2, 2011
Messages: 945
Likes Received: 4
Trophy Points: 35
Yanga + Arsenal = ??????????

Loading...