Arusha Leo
Senior Member
- Mar 12, 2012
- 122
- 72
Taarifa zilizotufikia hivi punde nikwamba rais Kikwete amemteua mwandishi wa habari wa ITV kituo cha Arusha, Novatus makunga kuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani kilimanjaro
Hongera zake huyo jamaa ni mchapa kazi, una maana Raisi ametangaza wakuu wa wilaya????Taarifa zilizotufikia hivi punde nikwamba rais Kikwete amemteua mwandishi wa habari wa ITV kituo cha Arusha, Novatus makunga kuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani kilimanjaro
Hongera zake huyo jamaa ni mchapa kazi, una maana Raisi ametangaza wakuu wa wilaya????
Ni zamu yake sasa kuyaona maisha kwenye mwanga bora
Taarifa zilizotufikia hivi punde nikwamba rais Kikwete amemteua mwandishi wa habari wa ITV kituo cha Arusha, Novatus makunga kuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani kilimanjaro