magambo josephat
Member
- Oct 20, 2014
- 42
- 10
Twaweza sema Mungu yu na we
hivi mchakato wa kumpata ulikuwaje?
![]()
Baada ya jina la katibu Mkuu wa Chadema Dk Wibroad Slaa likiwa limeteuliwa na UKAWA kuwa mgombea wake wa nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba.
Dakika chache zilizopita kwenye ukurasa wa twitter wa Dr Slaa kathibitisha kuteuliwa na UKAWA.
CREDIT:MILLARDAYO
hivi mchakato wa kumpata ulikuwaje?
Peoplesssss slaa ndo Anaweza kuongoza nchi
hivi mchakato wa kumpata ulikuwaje?
Nchi gani
Hakuna cha mchakato ni ubabe tu wa chadema.