Tetesi: Dr Wilbrod Peter Slaa Kupeperusha Bendera Ya UKAWA!

Tetesi: Dr Wilbrod Peter Slaa Kupeperusha Bendera Ya UKAWA!

Status
Not open for further replies.
Puuzeni taarifa zilizotolewa na Millardayo kuwa Ukawa washampitisha Dr Slaa kugombea urais, Pia ac Willibrordslaa sio ya Dr. W. P. Slaa,

Vikao vya Ukawa ili kupata mgombea mmoja bado vinaendela
 
Last edited by a moderator:
Mbona ratiba ya CHADEMA kuchukua na kurejesha fomu za urais haijafanyika au wameamua kuruka hatua?
 
Ngoja lipumba na mbatia waibukie kwenye media uone

Mbatia please cooperate kwani kaka unaweza tena sana na naamini inshalah muda wako ukifika basi nchi ni yako na tutakuunga mkono. Chochonde brother onyesha ushirikiano tujenge nchi usiwe kama ma CCM
 
[h=3][/h]

Baada ya jina la katibu Mkuu wa Chadema Dk Wibroad Slaa likiwa limeteuliwa na UKAWA kuwa mgombea wake wa nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba.

Dakika chache zilizopita kwenye ukurasa wa twitter wa Dr Slaa kathibitisha kuteuliwa na UKAWA.
CREDIT:MILLARDAYO

Acheni ujinga nyie uraisi ukawa siyo vita ksma ccm, cadema wana utaratibu wakutoa habari siyo kupitia milardl ayo! Alafu tangu link milard ago amekuwa mwema kwa ukawa?
 
Last edited by a moderator:
Puuzeni taarifa zilizotolewa na Millardayo kuwa Ukawa washampitisha Dr Slaa kugombea urais, Pia ac Willibrordslaa sio ya Dr. W. P. Slaa,

Vikao vya Ukawa ili kupata mgombea mmoja bado vinaendela
Nikauliza je ni lini CHADEMA walifanya process yandani kumpata mgombea? Au wanatafuta pingamizi?
 
si ndio unaendelea dodoma sasa hivi au? ujue nimeuliza kwakuwa wa kumpata Slaa sijausikia mahali

Kuna vikao vimeshafanyika wana Ukawa wanajua wewe ccm endeleeni kuulizia za huko dodoma mmeshakaribia kuangamia baada ya Lowasa kukatwa
 
Ni Jambo jema Dr. SLAA kuteuliwa kweli lakin Akili za wananchi kwa ninavyowaona bado wanaamini RAIS lazma atoke CCM. hivyo CCM hata ikisimika mgombea bomu bado atapita tena kwa kishindo.
 
Nikauliza je ni lini CHADEMA walifanya process yandani kumpata mgombea? Au wanatafuta pingamizi?

Mambo ya Chadema huwezi kujua kwa sababu hayakuhusu vipi huko dodoma Lowasa ameshakubali?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom