Mtagingwembe
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 377
- 91
Tulikuwa tunasubiri sana mpendwa wetu Dr Slaa ili utuambie kama upo tayari kutusaidia watanzania wenzio katika nafasi hiyo, kwani wele tuliowaachia nchi kwa mda mrefu wamegeuka kuwa wanyang'anyi.
Atakuwa na first fiancee wake kwenye kampeni?
Kwani ilikuwa ni lazima kujiunga na upinzani?dahh ndio maana nimeshindwa kujiunga na upinzani kabisa. ishu zao chini kwa chini tu
Ngoja lipumba na mbatia waibukie kwenye media uone
Huyu dogo Millard anawaingiza chaka pro-Chadema.[h=3][/h]
![]()
Baada ya jina la katibu Mkuu wa Chadema Dk Wibroad Slaa likiwa limeteuliwa na UKAWA kuwa mgombea wake wa nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba.
Dakika chache zilizopita kwenye ukurasa wa twitter wa Dr Slaa kathibitisha kuteuliwa na UKAWA.
CREDIT:MILLARDAYO
Hakuna cha mchakato ni ubabe tu wa chadema.
Kwani ilikuwa ni lazima kujiunga na upinzani?