Tetesi: Dr Wilbrod Peter Slaa Kupeperusha Bendera Ya UKAWA!

Tetesi: Dr Wilbrod Peter Slaa Kupeperusha Bendera Ya UKAWA!

Status
Not open for further replies.
CCM hata wamsimamishe Mzee Majuto Dr.Slaa hawezi kushinda.
 
I support Dr. Slaa.....hata,mgeleta huyo fisadi wenu asingepenya....rejea jf polls za el na dr.
 
[h=3][/h]



Baada ya jina la katibu Mkuu wa Chadema Dk Wibroad Slaa likiwa limeteuliwa na UKAWA kuwa mgombea wake wa nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba.

Dakika chache zilizopita kwenye ukurasa wa twitter wa Dr Slaa kathibitisha kuteuliwa na UKAWA.
CREDIT:MILLARDAYO
 
Last edited by a moderator:
Tunaimani naye. UKAWA waandae baraza la mawaziri. Prof. Lipumumba ateuliwe kuwa mbunge na apewe Uwaziri mkuu. Nchi hii itarudi kwenye mstari tu. Tuwape siku 100 tu wala si zaidi ndipo tulalamike.
Namshukuru Maulana kwa kuruhusu ccm ijifie kifo chake chenyewe bila hata kusukumwa na upinzani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom