Tetesi: Dr Wilbrod Peter Slaa Kupeperusha Bendera Ya UKAWA!

Tetesi: Dr Wilbrod Peter Slaa Kupeperusha Bendera Ya UKAWA!

Status
Not open for further replies.
Sasa we MOTOCHINI nakushangaa unawag'ang'ania wezi ili iweje. Angalia wanavyo umbuana rushwa njenje bado unasema ccm ccm. Nahisi unauchizi flani si bule
 
Tumaini la Watanzania Kimbilio la Wanyonge, Hatimae Saa Ya Ukombozi Imewadia Wakati Ni Sasa! Chadema Vema Mpaka Magogoni....
 
Ccm wana huzuni baada ya Lowasa kukatwa .
Ukawa ni furaha tunamsubiri raisi mtarajiwa Dr.Slaa
 
safi sana siku zote mtu anaemkimbiza mwizi kimya kimya anajiamini ila yule anaepiga kelele ili watu waje kumsaidia kuna mawili moja mwizi ana ubavu kuliko yeye au anataka mashaidi ikitokea kesi ikaenda mahakamani 4 great thinker come with joint venture strike against isolated party ccm tujiandae kupokea kura za hasira ktk uchaguzi huu.
 
We need our country back from CCM. UKAWA Dr. Slaa ikulu ni yako ni yetu Go go go go Dr. Slaa go go go
 
Ikulu ya Ufipa Na chizi wenu MBOWE

Chuki binafsi hazijifichi. Mbowe kaingiaje hapa? Nyie mwambieni Ayatu.lla aende akaape mahakamani abadili umri ili naye aruhusiwe kugombea. Nadhani kwa sasa mnawalaumu wazazi wake kwa kuchelewa kumzaa hivyo kuikosa fursa hiyo mwaka huu. Poleni sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom