Tetesi: Dr Wilbrod Peter Slaa Kupeperusha Bendera Ya UKAWA!

Tetesi: Dr Wilbrod Peter Slaa Kupeperusha Bendera Ya UKAWA!

Status
Not open for further replies.
Hamna kuna jamaa aaiye julikana kabisa.mtu amart kweli kweli na msomi wa level ya juu
 
Tetesi hizo zinaweza zikawa kweli maana slaa ndo raisi ajaye
 
Ukawa jipangeni shikamaneni inshaallah mungu yuko pamoja na nyinyi msikubali kugawanywa kwa namna yoyote ile wakati ndo huu mnawaona mafisadi wanavyovurugana hii ndo opportunity
 
Habari zisizo rasmi zinadai kwamba hatimaye UKAWA wameafikiana kumsimamisha Dr Wilbrod Peter Slaa kuwa mgombea wao wa kiti cha urais kwaajili ya uchaguzi mkuu ujao mwezi October.
Source: Millard Ayo blog


Jamani! UKAWA nao wamekubaliana, tena mbaya zaidi kumsimaisha Dr. Slaa mbona hii ni wiki mbaya sana kwetu wana-CCM
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom