The Priest
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 1,029
- 256
Duh jana ndio nimeamini barcelona ni wakali...the intelligent Messi + th accurate D.villa...that cant change my commitment to Man utd..
Barca ukiondoa Messi, Xavi na Iniesta ni ya kawaida sana. Ukiondoa hii combo kijasho cha ulimi lazima kiwatoke.
Duu!umenichekesha sana ndugu yangu kwenye hayo majibizano kati ya Sir A.Furgason na Rooney.habari za kuaminika: Ferguson mwenyewe jana alikuwa anashabikia barca baada ya kuona ngoma nzito, pale walipogombana na Rooney maelezo yalikuwa kama yafuatavyo Rooney: Mzee mbona umetugeuka? Ferguson: Wee b w e g e nini?, wenzenu wanacheza soka nyie mnacheza kiduku? rudi uwanjani mkaongezwe mkong'oto Rooney: Sasa ina maana unashabikia Barca? Ferguson: kamuulize Messi! nyambaaf! mkubwa, Huyo malkia mwenyewe leo yuko Barca itakuwa mimi? Rooney: samahani mzee Ferguson: Ukirudia tena msimu ujao nakuuza Blackpool au utasaga makalio benchi! Kichwa kama dafu la Jamaika. Mwisho wa kunukuu.
Barca ukiondoa Messi, Xavi na Iniesta ni ya kawaida sana. Ukiondoa hii combo kijasho cha ulimi lazima kiwatoke.
Hivi inasaidia nini kujibu post ambayo huielewi??Sasa hao unaowatoa ulitaka wakachezee timu gani? Wewe kama siyo mtu wa Man U nahisi ni Arsenal! Poleni sana kwa kichapo tena Nyumbani!!! Ila Man U walishafungwa tangu waliposikia tu Barcelona imeingia fainali, maana visingizio vilikuwa vingi sana mara ooh Barca wanabebwa sijui kitu gani vile!! Poleni sana
Man U mpo tayari tukate refani mechi ya jana irudiwe?
Man utd jana wameidhalilisha league ya Uingereza!! Bingwa gani anachezewa kama mtoto??
Walipakatwa....