Tallbata
Member
- Jan 31, 2023
- 37
- 101
Maelfu ya mashabiki baada ya mechi za Ngao ya Jamii kuisha na Simba kuibuka Bingwa, kumekuwa na kelele nying juu ya performance ya timu uwanjani.
Wengi wao hawaridhishwi nayo ila hapa kuna swali la kujiuliza, wakati Simba wanamsajili Robertinho kama kocha wao waliangalia juu ya falsafa yake inafanana na timu yao ama walimsajili kutokana na upepo tu wa matokeo aliyokuwa anapata pale Vipers kwenye CAF pasipo kuangalia ipi ni staili ya kucheza?
Mfano mzuri ukienda kwenye Klabu ya FC Barcelona wana falsafa yao kama timu na hata wanapohitaji kocha hawachukui ambae yupo nje ya falsafa yao ya kumiliki mpira. Huwezi ona siku Barca wakamsajili kocha aina ya Mourinho au Simeone kufundisha klabu yao kutokana na falsafa zao.
Bongo ni tofauti, timu ambayo falsafa yake ni kumiliki mpira inaajiri Kocha ambaye anaamini katika direct football halafu performance ikiwa mbovu analaumiwa kocha.
Guys hapa wa kulaumiwa ni viongozi wa klabu juu ya kuleta kocha ambae haendani na tamaduni ya timu ilihal wao falsafa ya timu wanaitambua na sio kocha kama mnavyodai.
Ni sawa na kumleta Mourinho na kufosi timu yake icheze possession based football ni kujisumbua sababu sio kitu ambacho yeye anakiamini ndugu zang wa Simba.