Tetesi: Barcelona yafungiwa kushiriki michuano mikubwa

The Priest

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,032
1,500
Duh jana ndio nimeamini barcelona ni wakali...the intelligent Messi + th accurate D.villa...that cant change my commitment to Man utd..
 

klorokwini

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
8,665
1,225
habari za kuaminika: Ferguson mwenyewe jana alikuwa anashabikia barca baada ya kuona ngoma nzito, pale walipogombana na Rooney maelezo yalikuwa kama yafuatavyo

Rooney: Mzee mbona umetugeuka?
Ferguson: Wee b w e g e nini?, wenzenu wanacheza soka nyie mnacheza kiduku? rudi uwanjani mkaongezwe mkong'oto
Rooney: Sasa ina maana unashabikia Barca?
Ferguson: kamuulize Messi! nyambaaf! mkubwa, Huyo malkia mwenyewe leo yuko Barca itakuwa mimi?
Rooney: samahani mzee
Ferguson: Ukirudia tena msimu ujao nakuuza Blackpool au utasaga makalio benchi! Kichwa kama dafu la Jamaika.

Mwisho wa kunukuu.
 

NG'OTIMBEBEDZU

JF-Expert Member
Aug 11, 2010
1,072
1,500
Barca ukiondoa Messi, Xavi na Iniesta ni ya kawaida sana. Ukiondoa hii combo kijasho cha ulimi lazima kiwatoke.

Kila timu ina King wake, hao wapo tu acha tuwatumie kwa sasa, wakitoka hao kuna product nyingine ipo nyuma yao inakuja.
 

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
986
500
habari za kuaminika: Ferguson mwenyewe jana alikuwa anashabikia barca baada ya kuona ngoma nzito, pale walipogombana na Rooney maelezo yalikuwa kama yafuatavyo Rooney: Mzee mbona umetugeuka? Ferguson: Wee b w e g e nini?, wenzenu wanacheza soka nyie mnacheza kiduku? rudi uwanjani mkaongezwe mkong'oto Rooney: Sasa ina maana unashabikia Barca? Ferguson: kamuulize Messi! nyambaaf! mkubwa, Huyo malkia mwenyewe leo yuko Barca itakuwa mimi? Rooney: samahani mzee Ferguson: Ukirudia tena msimu ujao nakuuza Blackpool au utasaga makalio benchi! Kichwa kama dafu la Jamaika. Mwisho wa kunukuu.
Duu!umenichekesha sana ndugu yangu kwenye hayo majibizano kati ya Sir A.Furgason na Rooney.
 

isinkini

Member
May 7, 2011
43
0
aah, mi nilisikia vibaya eeh, eti walichezesha mamuluki toka sayari nyingine na tayari wanawasiliana na ragge akawasaidie kukata rufaa fifa.
 

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,521
2,000
kuna faulo ilipigwa kipindi cha pili kuelekea man,sijapata ona hesabu kali kama ile!pep alifanya vizuri sana kutomuanzisha puyol angekua uchochoro!
 

Job K

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
9,326
2,000
Barca ukiondoa Messi, Xavi na Iniesta ni ya kawaida sana. Ukiondoa hii combo kijasho cha ulimi lazima kiwatoke.

Sasa hao unaowatoa ulitaka wakachezee timu gani? Wewe kama siyo mtu wa Man U nahisi ni Arsenal! Poleni sana kwa kichapo tena Nyumbani!!! Ila Man U walishafungwa tangu waliposikia tu Barcelona imeingia fainali, maana visingizio vilikuwa vingi sana mara ooh Barca wanabebwa sijui kitu gani vile!! Poleni sana
 

Abdulhalim

Platinum Member
Jul 20, 2007
17,037
2,000
Sasa hao unaowatoa ulitaka wakachezee timu gani? Wewe kama siyo mtu wa Man U nahisi ni Arsenal! Poleni sana kwa kichapo tena Nyumbani!!! Ila Man U walishafungwa tangu waliposikia tu Barcelona imeingia fainali, maana visingizio vilikuwa vingi sana mara ooh Barca wanabebwa sijui kitu gani vile!! Poleni sana
Hivi inasaidia nini kujibu post ambayo huielewi??
 

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,891
2,000
Raha sana man u waliongea sana mdomoni wenzao wakawa kimya wanasubiri kuongea uwanjani
 

mwanapolo

Senior Member
Mar 29, 2011
194
195
Uzuri ni kuwa mji umepoa hakukuwa na maturembeta ya kutunyima usingizi baada ya kichapo kwa ManU na Simba!
 

Son of Alaska

JF-Expert Member
Jun 2, 2008
2,813
0
for once nimesikia something positive clouds fm,eti mechi kali sasa hivi duniani itabidi ipambanishe barcelona A via barcelona B
 

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
2,490
2,000
nimesikia Man U wanakuja Tz kuonana na Rage ili kupata uhakika kama kuna sheria ilikiukwa kabla ya kukata rufaa.
 

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,037
2,000
Kabla ya mchezo wa jana mi nilishawaambia hii Barca ya msimu huu cyo ya SAYARI hii 2liyomo.
 

Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,237
2,000
Man utd jana wameidhalilisha league ya Uingereza!! Bingwa gani anachezewa kama mtoto??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom