Tetesi: Barcelona yafungiwa kushiriki michuano mikubwa

Duh jana ndio nimeamini barcelona ni wakali...the intelligent Messi + th accurate D.villa...that cant change my commitment to Man utd..
 
habari za kuaminika: Ferguson mwenyewe jana alikuwa anashabikia barca baada ya kuona ngoma nzito, pale walipogombana na Rooney maelezo yalikuwa kama yafuatavyo

Rooney: Mzee mbona umetugeuka?
Ferguson: Wee b w e g e nini?, wenzenu wanacheza soka nyie mnacheza kiduku? rudi uwanjani mkaongezwe mkong'oto
Rooney: Sasa ina maana unashabikia Barca?
Ferguson: kamuulize Messi! nyambaaf! mkubwa, Huyo malkia mwenyewe leo yuko Barca itakuwa mimi?
Rooney: samahani mzee
Ferguson: Ukirudia tena msimu ujao nakuuza Blackpool au utasaga makalio benchi! Kichwa kama dafu la Jamaika.

Mwisho wa kunukuu.
 
habari za kuaminika: Ferguson mwenyewe jana alikuwa anashabikia barca baada ya kuona ngoma nzito, pale walipogombana na Rooney maelezo yalikuwa kama yafuatavyo Rooney: Mzee mbona umetugeuka? Ferguson: Wee b w e g e nini?, wenzenu wanacheza soka nyie mnacheza kiduku? rudi uwanjani mkaongezwe mkong'oto Rooney: Sasa ina maana unashabikia Barca? Ferguson: kamuulize Messi! nyambaaf! mkubwa, Huyo malkia mwenyewe leo yuko Barca itakuwa mimi? Rooney: samahani mzee Ferguson: Ukirudia tena msimu ujao nakuuza Blackpool au utasaga makalio benchi! Kichwa kama dafu la Jamaika. Mwisho wa kunukuu.
Duu!umenichekesha sana ndugu yangu kwenye hayo majibizano kati ya Sir A.Furgason na Rooney.
 
Aah, mi nilisikia vibaya eeh, eti walichezesha mamuluki toka sayari nyingine na tayari wanawasiliana na ragge akawasaidie kukata rufaa fifa.
 
Kuna faulo ilipigwa kipindi cha pili kuelekea man,sijapata ona hesabu kali kama ile!pep alifanya vizuri sana kutomuanzisha puyol angekua uchochoro!
 
Barca ukiondoa Messi, Xavi na Iniesta ni ya kawaida sana. Ukiondoa hii combo kijasho cha ulimi lazima kiwatoke.

Sasa hao unaowatoa ulitaka wakachezee timu gani? Wewe kama siyo mtu wa Man U nahisi ni Arsenal! Poleni sana kwa kichapo tena Nyumbani!!! Ila Man U walishafungwa tangu waliposikia tu Barcelona imeingia fainali, maana visingizio vilikuwa vingi sana mara ooh Barca wanabebwa sijui kitu gani vile!! Poleni sana
 
Sasa hao unaowatoa ulitaka wakachezee timu gani? Wewe kama siyo mtu wa Man U nahisi ni Arsenal! Poleni sana kwa kichapo tena Nyumbani!!! Ila Man U walishafungwa tangu waliposikia tu Barcelona imeingia fainali, maana visingizio vilikuwa vingi sana mara ooh Barca wanabebwa sijui kitu gani vile!! Poleni sana
Hivi inasaidia nini kujibu post ambayo huielewi??
 
Raha sana man u waliongea sana mdomoni wenzao wakawa kimya wanasubiri kuongea uwanjani
 
Uzuri ni kuwa mji umepoa hakukuwa na maturembeta ya kutunyima usingizi baada ya kichapo kwa ManU na Simba!
 
For once nimesikia something positive clouds fm, eti mechi kali sasa hivi duniani itabidi ipambanishe barcelona A via barcelona B
 
Nimesikia Man U wanakuja Tz kuonana na Rage ili kupata uhakika kama kuna sheria ilikiukwa kabla ya kukata rufaa.
 
Kabla ya mchezo wa jana mi nilishawaambia hii Barca ya msimu huu cyo ya SAYARI hii 2liyomo.
 
Man utd jana wameidhalilisha league ya Uingereza!! Bingwa gani anachezewa kama mtoto??
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom