Tetesi: Barcelona yafungiwa kushiriki michuano mikubwa

KIMICHIO

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
1,180
1,225
Tatizo la waingereza ni wabishi na unazi usio na maana sababu ukiwaambia hawajui mpira na ligi yao ni dhaifu ukifananisha na ligi za wengine europe ambazo hawajazi mamluki ya kununua west africa wanakuwa wabishi kweli sasa ilo limejidhihirisha na imesaidia sana kupunguza kelele humu mijini kwetu maana tusingelala kwa makelele siku ile.
 

KIMICHIO

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
1,180
1,225
Ila siyo mbaya maana dawa ya litoto litukutu ni makonzi tu.walianza na zee la domo morinho wakampa kitu kizima full six sasa wamemalizia kwa zee la mabablishi kwa kitu half qurter kudadadeki.
 

Losemo

Senior Member
Mar 30, 2010
183
0
Man u poleni. Ule muziki haukuwa size yenu, Nilichofurahi ni jansi wa2 wanavyopenda kazi zao. Fegy alipokuwa akitetemeka akishuhudia mvua ya magoli, Hakudhani yataishia 3 alijua yatakuwa zaidi. Thanx to Van de sar. ingekuwa huku kwetu. Kocha wala haimuumi kitu, Tena ukimwambia mbona umefungwa atakuambia. Mbona kawaida tu
 

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,472
2,000
Wanachofanya Barca na Messi ni illegal kwenye football.
 

Pota

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
1,985
2,000
Ilipotolewa arsenal,Man U walikejeri sana...hawakujua!hawakujua!

tena bora aseno kwani wamefungwa wakiwa pungufu, na hawajawahi kufungwa wakiwa katika nchi yao. tofauti na
hawa red devils wamefunuliwa wakiwa kwao,mbele ya wake zao, watoto wao, na hata wajakazi wao. magamba united oyeeeee!
 

emoshi

Member
Apr 2, 2011
28
20
Je,makocha wa kitanzania wamejifunza chochote?mpira wao ni wa maneno tu.simliona simba walikosa pumza dakika za mwisho.
aah, mi nilisikia vibaya eeh, eti walichezesha mamuluki toka sayari nyingine na tayari wanawasiliana na ragge akawasaidie kukata rufaa fifa.
 

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,601
2,000
:biggrin1::biggrin1::biggrin1: na bahati yao walikuwa wawaloweshe kama 7 hv :biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 

Kijuso

Senior Member
Jun 23, 2009
161
195
nimesikia wamekata rufaa,kwanini messi anacheza mpira kama ule wa kuumiza viuno wenzake, tete tete
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom