Kuja kaya hatiitanga 'tetemeko' tiitanga "kitingisha:Mzahumua zege na ijo tetemeko?
Kuja kaya hatiitanga 'tetemeko' tiitanga "kitingisha:Mzahumua zege na ijo tetemeko?
Shemahonge 😅😂ngoja nikamuulize balozi Mshangama😁
Angalia sana kwa.a tangawizi yachimbMimi nipo Huku Mamba upareni nachimba Tangawizi nako limepita
Kama ni hivyo Yawezekana hili ndo tetemeko kubwa kuahi kuikumba Tanzania.Kuanzia Tanga mpaka Chato!
Yes
mkuu Babu alisema kuna tetemeko last week..ni kwel,huyu mzee anajambo lake
Nitamuamini ikitokea aliposema kuwa kuna nchi itameguka!!😜
Mia woshe ni wagima?
.
Weshu ikhaaa hea za maafa
Nyumba ziiikinie uko
Shetani 😁🤣Shetundui
Shekiogwe
Shemazinge
Shemweta nk
Hehehehe
SheubwabwaShetundui
Shekiogwe
Shemazinge
Shemweta nk
Hehehehe
Mzee shangaa yako hii mbona unatumia shangaa ya taifa, kweli tukio likitokea laweza kuwa na madhara makubwa sana! Hiiiii!Kwani lushoto imepitiwa na rift valley???? how this??? ina maana hata Dsm laweza kupita...Ye ye yeeee I can't imagine effects zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tizainuka wedi SKYMzahumua zege na ijo tetemeko?
Nipo Lushoto kikazi,majira ya saa tatu na dakika 40 limepita tetemeko la ardhi kali sana,hadi sasa hakuna madhara yaliyolipotiwa....tutawajuza zaidi.
Hahahh nimecheka na hi how kisambaaMzahumua zege na ijo tetemeko?
Mzahumua zege na ijo tetemeko?