Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,152
Nipo Lushoto kikazi,majira ya saa tatu na dakika 40 limepita tetemeko la ardhi kali sana, hadi sasa hakuna madhara yaliyolipotiwa....tutawajuza zaidi.
HorohoroHata mie nimehisi kama Kiti nilichokalia kinatingishika - Niko Holoholo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee wasambaa hawajui huyo Richter scale ni kitu ganini la kipimo cha Richter scale ngapi mkuu?
ngoja nikamuulize balozi Mshangama😁ni la kipimo cha Richter scale ngapi mkuu?
[emoji28][emoji28][emoji28]Mzahumua zege na ijo tetemeko?
mzahumua ni salam kam sikoseiMzahumua zege na ijo tetemeko?
Hivyo yule babu wa loliondo alizungumza ukweli🙄 si kalisema kutakuwa na matetemeko na yamekuwa duh! Naanza kumuangalia kwa jicho pevu!
Tuwaheshimu watumishi wa MunguHivyo yule babu wa loliondo alizungumza ukweli[emoji849] si kalisema kutakuwa na matetemeko na yamekuwa duh! Naanza kumuangalia kwa jicho pevu!