Tetemeko la Ardhi Lushoto

Nilifanya naye kolabo

Jr
😂😂
We utabiri hauwezi labda uendelee kututisha na mapichapicha ya kuzimu na mochwari hiyo ndo fani yako!.
Hita hivyo simuamini pia maana yeye alivyosema ni kuwa tetemeko litaikumba dunia nzima na kuna nchi itajigawa itaenda kujiunga na nchi nyengine!! Halafu hakuta tokea madhara😎😂 hapo ndipo alipobugi babu yako anakazi nzito ya kuniaminisha nadharia yake hii!!
 

We utabiri hauwezi labda uendelee kututisha na mapichapicha ya kuzimu na mochwari hiyo ndo fani yako!.
Hita hivyo simuamini pia maana yeye alivyosema ni kuwa tetemeko litaikumba dunia nzima na kuna nchi itajigawa itaenda kujiunga na nchi nyengine!! Halafu hakuta tokea madhara hapo ndipo alipobugi babu yako anakazi nzito ya kuniaminisha nadharia yake hii!!
Kuwa mpole.. Hukuona SIMBA alipomtungua mtu 8 sefuli YANGA walisemaje? Wanamshukuru mganga wao kwakuwa zile goli zilikuwa zao
Bado nasimamia utabiri wangu ulikuwa sahihi

Jr
 
Kuwa mpole.. Hukuona SIMBA alipomtungua mtu 8 sefuli YANGA walisemaje? Wanamshukuru mganga wao kwakuwa zile goli zilikuwa zao
Bado nasimamia utabiri wangu ulikuwa sahihi

Jr
😂😂
Nitakuwa naswali moja juu yako ulitabiri nini na kilitokea nini...?
 
Nipo Lushoto kikazi,majira ya saa tatu na dakika 40 limepita tetemeko la ardhi kali sana,hadi sasa hakuna madhara yaliyolipotiwa....tutawajuza zaidi.
Masikini Serikali wala haijui na huko ndiyo mko na Makamba. Kwisha habari yenu

Pia saidianeni wenyewe kwa wenyewe maana hata Serikali ikijua huwa inasema haileti matetemeko
 
Majibu unayo

Jr
Ulitabiri Simba itashinda lkn walikutana na pigo😜 nashangaa sahivi unataka utie chumvi mara ulozi! Tulia wewe fani nyengine unayoiweza ni koneksheni 😂 siku ukipata nyengine usisite kunitumia! Wanasema kizuri kula na nduguyo kibaya pambana nacho 😜😜😜
 
connection sometimes ni umbea haya chukua ubuyu huu
Ulitabiri Simba itashinda lkn walikutana na pigo nashangaa sahivi unataka utie chumvi mara ulozi! Tulia wewe fani nyengine unayoiweza ni koneksheni siku ukipata nyengine usisite kunitumia! Wanasema kizuri kula na nduguyo kibaya pambana nacho


Jr
 
connection sometimes ni umbea haya chukua ubuyu huuView attachment 1387709

Jr
😂😂
Umeniweza ila sijashindwa
Hao ni Simba baada ya kupigwa Cha angle!
images.jpeg
 
Back
Top Bottom