Testing KLH Live!

Hatimae nimesikia wimbo wa zuwena marijani!ila inakwaruza kwaruza!keep it up
 
Tunakesha tukifanya majaribio ya kutangaza "live" kutoka studio zetu mpya... pembezoni mwa jiji la Detroit. Ukiingia kwenye KLH News upande wa kulia chini ya video kuna mahali panasema sikiliza "Live" na chagua player yako halafu nipe feedback.

We are getting you live and clear in D-town.
Natumia real player.
Shukran.
 
mkuu ulienda kupata maji nini maana nimesubiri weee na halafu hujatupasha mapema kama unazima ngoma moto.

halafu fidel anakutafuta kwenye siasa ushaenda kule? ana motomoto za dodoma

wachaniende nikafungue kule klhnews nistarehe
 
nakupata live,namsikia mkapa katika hot chair,sisi wengine hatutumii computer kusikiliza hizi radio,sisi hutumia internet radio,una mpango wa kuipachika hii kitu humo,maana bongo radio tunampata katika hii radio
 
mkuu mkapa naona anajikosha sana tu

nnaomba kama una speech za mzee karume au hata za komandoo salmini au hata seif sharif mkuu nnaomba na hili

samahani mkuumkjj maombi yangu huenda yatakuwa magumu

ila kwalengo la kuonyesha kuwa radio hii ni yetu sote watanzania naategemea utakuwa umenifahamu
 
mkjj upo au ushalala mkuu tuko tunastrehe na akina marehemu moshi na sasa nnaona mzee mwenye sura mbaya anawasha moto remmy ongala mambo mazuri
 
Nimeipata.....Si ulianiambia kwamba wajaa....Nakusubiri Mkapa...

...Ila inakwama kwama...
Good work!
 
nnaipata niko na wahuba na mazowea uwe wangu wa mille mile na sasa nnasikiliza mwanameka


nnatumia real player tena iko safi wala haikwami tumia real player
 
Huu mchiriku mambo ya pwani haya ukicheza sharti ndala mkononi kuna wezi hapo!
 
Tutakuwa na "Mgosi wa Kaya" baada ya muda si mrefu kutolea maoni ya kile kinachoendeelea Dodoma.....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom