Testing KLH Live!

Hehima mbele MMJ
Haya mambo yametulia..imebidi nibadili ratiba yangu niende honeymoon!!
Naona unajitahidi kumkosha roho mtu wa pwani
 
Hiyo saa nane ya usiku huko Majuu ni saa tatu ya asubuhi afrika mashariki, saa moja ya asubuhi huko UK na ni saa nane mchana kule malaysia... Tunasubiri taarifa ya habari...
 
hahaha.. naomba mniambie mnatumia player gani kusikiliza..? kati ya hizo nne tulizonazo..
 
Umesema kuwa kwa sasa redio haitakuwa masaa 24 hewani.... Leo itakuwa hewani kwa muda gani... manake hizi nyimbo za kiochestra zinafanya bia yangu kushuka vizuri Jumamosi hii!
 
kheeeee kheeeee heeee!
Huo wimbo wa Les Wanyika, lazima unajibu mada fulani hapa JF
 
Wee acha tuu..
MMJ kula tano..naona unachombeza na "sina makosa" kama silaha ya nguvu dhidi ya mafisadi kuwaumiza roho zao
 
hahahaha.....usiwe na wasiwasi.. nitaacha burudanni kwa kutwa nzima.. ila baadaye itabidi nipumzishe haka ka kompyuta ili niongeze mafuta ya taa..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom