- Thread starter
- #21
sielewi kwa nini watu wanakupa pole!! wewe ni shujaa. Hongera sana mkuu Pave kwa kuwa muwazi. Mungu akupe hitajio lako. mzae na watoto.
Unahitaji pongezi, wote wanamudu ujasiri wa namna hii. Hongera mkuu umekuwa wa kipekee katika hili. Mungu akusaidie upate hitaji lako na zaidi akupe ujasiri zaidi!
Pamoja wakuu! Mungu asikie maombi yenu. Natambua (kwa namna zangu) thamani ya kuwepo kwangu duniani...... ni vizuri kubadilika kwa haraka na kuendana na hali....... ni jambo zuri kupenda na kujali wengine. Ni vyema kujenga furaha maishani kuliko kujenga huzuni kwako na kwa wengine.