A woman to woman fight! No retreat no surrender

Mahondaw

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
63,746
159,905
Ndoa zina mengi nyie acheni tu!

A: Naomba uachane na mume wangu!!
B :Nani huyo??? Mbona sina Mwenza mimi!!!
A: Huyo ulie mtuma mikate na pedi,
B: Mbona huyu ni mtu wangu na hajaoa wala nini kwani wee nani??

A: mke mwenzio mama P nimeona meseji zako ulizomtuma mikate na pedi mume wangu ukimuita mumeo! Dada naomba usijaribu ndoa yangu tafadhali!
B:Wee mbona unanichanganyia habari umetokea wapi kwanza?? Umetumwa ama??
A: Nimekwambia hivi naomba uachane na mume wangu
B: mimi mbona sichukui mume wa mtu!
A: Kakudanganya kuwa upo peke ako,
B: Wee sikwelewi mimi ongea nahuyo unayemuita mumeo usivamie watu usiowajua wee veepeeeee!!!

A: Ni kweri swala la kuongea na hyo tunae muita mume wetu ni muhimu tusiparamiane na uku atujuani,
B: Wewe unaepagawa kama umefumaniwa ndo uhangaike kuongea nae mimi sina muda huo kwanza niko bize ndomana huoni nikihangaika nawewe ila wewe ndo unahangaika namimi kila unanipigia kwa namba tofauti( ukapita ukimya kama wiki mbili hivi badae simu ikapigwa tena kwa namba tofauti )

A:Hivi wewe dada mbona husikii nimekwambia achana na mume wangu
B: Mbona unahangaika sana?? Pole sana! Huyo sawa umezaa nae lakini sio chaguo la moyo wako ni mambo ya ujana tu alikubebesha mimba! Ninachoweza kukwambia ni kuwa tunapendana sana! Ananipenda nami nampenda pia kama alivokuja kwako namimi alinifata akanitongoza mwenyewe so sio kosa langu dada chanja mbuga unaniwekea kiwingu

A: Kwa hiyo chaguo la moyo wako ni wewe? Najua siyo kosa lako lakini si umeambiwa usikie! Wewe unadanganywa siku ukija kujua ukweri utalia sana,

B: Nijue ukweli gani labda?? Unafikiri sijui kama unaishi nae hapo kwao na mlifungishwa ndoa kabisa?? Najua kila kitu! Ukiona ivo hutimizi majukumu yako kama mke ndomana akaja kwangu. Ndoivo hata wewe nadhani keshakwambia kua usinisumbue Tena patience ni mpole na mwelewa sana anajituma na mchapakazi mbaya zaidi anajua mapenzi ni mtamuuuuu ananikuna mpaka kunako kuleeeeee ananifikisha nami namfikisha inshort tunaridhishana na tumeridhiana japo ana mtoto kwangu sio Shidaaaaa

A: Umeojeshwa umenogewa hayo yote yataisha! Kwa hiyo unataka uharibu ndoa yake kuwa msitaharabu wewe kiumbe,

B:Sijaharibu ndoa ya mtu kanifata kanitongoza mwenyewe kwakua aliona nina sifa zaidi yako! Nami bila shaka nahudumia vizuri nakummudu kamaliza mume namjali namfanyia mazuri. Ungekua unatimiza majukumu yako ipasavyo asingetoka nje.. Wee mke gani hulali chumba kimoja na mumeo?? Mke gani mumeo anachati usiku na mwanamke mwingine kama wewe upo hapo sio rahisi??? Mke gani mumeo analala nje usiku mzima umetulia tu?? Hivi wewe zimo kweli??

A: Hujui sababu kwa nini halali na mimi chumba kimoja utaijua, Kwa sasa we ndo upo fashion ila unampeleka pabaya,
B: Sina haja yakujua sababu yoyote ninachojua ni kumtunza nakumhudumia vizuri kama mume ndiomana kanogewa!

A: Kawaida malaya huwa munahudumia vizuri.
B: Khakhakhaaaaaa unalo hiloo limekuganda bidada, Nimekuzidi vigezo ndomana kaja kwangu patience ni mtamu sana yani tena Sanaaa.

A: Nami naujua utamu wake umeupata kwa masaa mi na umiliki, huna vigezo vyovyote nimeisha kuona,
B: Sa kama unaumiliki presha yanini si ukitulize! Hahahahahahahahaha nakuonea Huruma Shost, Muulize yeye ndo anajua utamu na vigezo nilivyonavyo ndomana hataki kutoka!

A: Anakutumia tu coz niko likizo hayo Yataisha
B: Pole sana mi hayo sijali wala nini, Mbona roho inakuuma sasa?? kama ni wako si utulie unahangaika nini sasa?? Halafu anaumwa mafua naomba umtunze vizuri kwa usafi mpaka apone sawa???

A: Naona umemtajia dawa akanunue jipendekeze ndo sifa za malaya, Mwambie akupe mimba kwani kuzaa kazi unatumwa kama malaya tu.

B: Tena anatamani sana nakunibembeleza kila siku nimzalie ka princess sema tu mazingira hatujayaandaa Vizuri usijali siku si nyingi nitamzalia ka beautiful onyinye ka princess kadogo Kake na Pieta wako, Hahahahahahahahaha unalo Shost Ananipenda nami nampenda sana mpka anajuta kuwa nawewe. Nakupa dedication sikiliza wimbo wa taarabu unaitwa MKE MWENZA kaimba isha mashauzi ft joha Kasimu

A: Ww ndo unalo la kulala na mume wa mtu siku mbili ukachanganyikiwa, Naona unafana na mashauzi hayo
A: Utakonda kwa presha shogangu najua mume anaumaa khakhaa! Mtamu sana patience wangu lol mpaka najutra kuchelewa kukutana nae

A: Umechelewa kukutana nae na utawai kuachana nae, kwanza Hawez kukuoa hata siku moja,
B: Sasa kama hawezi kunioa presha yako ni nini labda??? Ninachokuomba ni naomba umtunze umfulie nguo awe msafi patience wangu kipenzi

A: Atakufungia umfulie maana huku hatapata huduma hata moja,
B: Mwambie azilete nguo zake zoooote nitazifua vizuri tu hio siku nitaomba ruhusa kazini nisiende ili nifue nguo za patience wangu mtamuuuuu

A: Atazileta kesho na ata kuja kulala kabisa na akutombeee
B: Mwambie Karibu sanaaa aje muda wowote hata usiku wa manane nitampokea. sio kut**a tu sema kut**a vizuri sanaaa
B: Sorry nlisahau. Katoto kangu ka p hakajambo?? naomba umlee huyo mtoto wangu vizuri ole wako akae mchafu mchafu kama hana mama. Naomba umtunze vizuri p wangu ale ashibe vizuri asubuhi mchana jioni ale mlo kamili mboga za majani na matunda usisahau

A: Unalo sema watoto sio mtoto yupo prince pieta na adiventina kumbe wamjua p tu??
B: Mi sijali idadi ya watoto hata awe na kijiji kizima mi sina shaka nae, sasa kumbe watatu tu?? Mi nilijua unao 10 ??? Basi mi nitaongezea 7 wawe 10 kabisa mana patience anapenda watoto wengi sana; naomba Uwalee vizuri wanangu wasiwe na afya hafifu kama wana unyafuzi

A: Nenda kituo cha yatima uchukue yatima umuite mwanao, duuuuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhhhhhh kumbe unamjua patience anapenda nini aisee malaya ni noumaaaaa

B: Haha umekasirika??? Kashtaki kwa wakwe zako au ikiwezekana hata kwa padri aliewafungisha ndoa siogopi! Sasa kama patience ni mume wangu na watoto wake pia ni wanangu kwani ukipenda boga penda na ua lake shogaa Wee mjinga saivi Niko kazini ngoja nifanye kazi nitaendelea kukupa vyako badae nikitoka kazini kwani umenianza mwenyewe kila siku unakuja na namba mpya nimekuvumilia sana ! Ila patience mtamu sana jamani ananit*** vizuriiiiiiiiiiiii inshort simwachi ng'o!!!

Tena Kaa ukijua mimi ni mume ya patience na siku si nyingi nitakua muke halali ya patience! Kwakua unajifanya mjuaji ndo nataka kukuonesha kuwa mimi kuwa au kumuacha na patience ni juu yangu mimi sasa Kaa ukasubiria mwenza!

A: Toka link malaya akawa na Kazi? Hivi mlivyo fukuzwa mjini malaya ukakimbilia kijijini kujiuzia huko umezoea kutobwa jana umetobwa na wangapi,
B: Hahahahahahahahaha unaropoka tu utafikiri umekumywa maji ya chooni Unajua nilipo wee falasi??? Unajua nafanya nini au unajambajamba tu kuhisi? Mwambie patience akulete ninapofanya kazi uzimie! Kwanza ulivyo mshamba tu wakuja the Sidhani kama mlinzi atakuruhusu uingie walau hata getini tu kuongea kwenyewe shida.

A: Kwenye horofa ya machankudoa au mlinzi atoke wapi malaya alidwe wateja utatoa wapi ukilidwa.
B: Huhuhuuu unalo bibi unafikiri wanawake wote ni magoli kipa kama wewe?? Upo tu nyumbani kuanzia asubuhi mpk jion hujishughulishi kwa chochote! Upo tu kujaza choo ukweni?? Mimi next level wewe hunipati ng'ooooooooo Maisha ya patience yapo mikononi mwangu upo hapo bidada?? Hata dakika hii nikiamua kumuacha patience namuacha lakini kwakua wewe want tu fight with me am ready for that. Umeishiwa huna jipyaaaa kaoge maji ya bahari uondoe nuksiiiiiiii.

A: Yako mikononi mwako we Mungu au shetani malaya,
Umenipaka ww nukusi mwenye nukusi ni wew unaeparamia .. za watu,
B: Hahahahahahahahaha mumeo ndo kaniparamia bibieee mtoto nalipa sio hovyo hovyo kama wewe upo upo tu Tafuta neno jingine malaya lishaexpire basi umeishiwa maneno???

A: Inaonesha ww ni mtoto wa nje ya ndoa ata umjui baba ako,
B: Maneno ya mkosaji hayo baba na mama yangu wanakuhuu? Next level mi usidhani unaongea na mbugila mbugila mwenzio, Wewe twanga maji kwenye kinu unayosema mimi siyajali nachojali nikua nampenda sana tena sanaaaaaaaaaaaa patience wangu simuachi ng'ooooooooo..

A: humuachii na huku nipo nae kwako anakuja kuhemea maradhi ukimwi
B: Tena mwezi wa 10 nina likizo kazini lazima anipe nauli ya kusafiria nyumbani nikawaletee ukimwi kwenye ndoa yenu pozi zote zikuishie
A: Ukimwi hauui kwani kinacho ua malaria ,
B: malaria eee!!!!?? Ndoivo jiandae naenda kukuletea maradhi kibao ukome na domo lako

A: Lazima umetokea udom umezoea kujiuza dodoma,
B:Khakhakhaaaaaa kitu cha SUA hiki sio udom chuo cha kijiji! Am a girl from SUA meeeeeennnnn

A: Huna lolote hata uwe na masitaz wew malaya hauna sifa ,
B: Sio masitaz ni masters! Nakuelimisha tyu boya wewe .. Bhai bhaiiiiiiiiiiiii patience yuko bize na kutafuta mikataba mpya ya kazi. Kesho nitaenda Arusha semina ya wiki nzima samahan sana kwahilo.. Nimeshakuaga nipo bize naenda kukata tiket hebu andaa chakula cha usiku boya wewe baii baaaaaiiiiiii

A: Nenda nae basi malaya wako nae atembee make mwisho wake chato, wewe unachunwa tu mimi nakula nashiba
B:pole yako muulize! Kwanza utakoma lazima nimfilisi mumeo

A: Umfilisi Mb** na mapumbu labda, hapa nilipo nina balance ya kutosha akitaka pesa na mpa.
B: Thubutuuu yeye ndo akipatacho agawe huko na huku.. Utajiju kama alikua analeta huko tu ishakula kwako! Semina tunalipwa kwa cheque semina ikiisha. Za semina na mshahara haumuhusu patience, 3GS35H5XFX Imethibitishwa. Umepokea Tsh205,555.00 kutoka 25575976***- Patience, mnamo 2/8/16 saa 4:36 PM Baki yako ya M-Pesa ni Tsh295,705.00.

A: Apo baki yake yeye inakuhusu nin wambie wasomi malaya wenzio ,
B: Hiyo ni Baki yangu fala wewe badala ya kunitumia hio laki nakitu ukijumlisha na ilokuemo ndo imekua baki yangu fala wee hujui kusoma au?

A: Wanaokupeleka semina hawajakupa hela mpaka utumiwe na malaya mwenzio?
B; hapa naenda kukata tiket bwanako ndo keshanitumia hela hivoo! Na ile harusi ya juzi juzjuzi ya mdogo wake hela imemtoka sana plus yule dogo aliemzingua kuhusu hela yake patience akampiga sana nusura amuue napo hela imemtoka sana patience wangu

A: Inaonekana patience unamjua vizuri sana ee?? Malaya bwana noma!
B: malaya mimi mimba nimetoa mimi na bwanako nishamchukua mimi sema jingine!!

(Stay tuned ngoja nikusanye data za kutosha mtanange sio mdogo huu)
 
Back
Top Bottom