King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,374
- 88,593
Nawe umeathirika?
Sijapima bado.
Nawe umeathirika?
Sio vizuri mkuu,muache tu mdau madhali hajaja kukuhoji hapo ulipo sidhani kama ni sahihi ku-judge alichokiandika hapa...unless uniambie kakushikia bakora kwamba usome bandiko lake na kukulazimisha ucomment,matatizo tumeumbiwa wanadamu ndugu yangu usim-beze mwenzako kesho yakakukuta na wewe ukakosa faraja...ni maoni tu mkuu.
Sijapima bado.
Mkuu sijambeza mtu,ila usiamini sana vitu vya kimtandao.
Najaribu kujiweka kwenye viatu vyako, kwa kweli wewe ni jasiri. Kila kitu hutokea kwa makusudi maalum. Mungu aendelee kukuimarisha na akupatie haja ya moyo wako. Pole sn
Kama kila anayeathirika angekuwa na ujasiri wa hivi, ukimwi ungeisha siku nyingi. Wengine wetu hata tukijua tuna maambukizi kazi yetu kusambaza tu tena na wengine wanajisifia wameunganisha wangapi. Pave wewe ni mmoja kati ya wachache mno katika dunia yetu ya leo. Nakutakia kila la heri
Mkuu sijambeza mtu,ila usiamini sana vitu vya kimtandao.
Sifanyi research, ni ukweli mtupu na hivyo ndivyo nilivyo. Amina!