FRANK GERALD
JF-Expert Member
- Nov 14, 2012
- 257
- 40
Ntakacho fanya ni ku-asign majina yeyote to the switches, lets say "x","y" and "z" .
Then wakati bado nikiwa nje ntaiwasha switch "X" for a very long time, lets say 5 minutes na switch "Z" sitaiwasha kabisa then switch "Y" nitaiwasha one minute or less kabla ya kuingia.
Nikiingia kule ndani ntazigusa au kuusogeza mkono wangu karibu sana na zile bulb,
-ile bulb yenye joto kali sana itakua inaongozwa na switch "X" (reason bulb "X" itakua imewaka muda mrefu zaidi so itakua na joto zaidi kutokana na principles za umeme.
-Ile bulb yenye joto dogo itakuwa inaongozwa na switch "Y"
-Na ile bulb isiyokua na joto kabisa itakua inaongozwa na switch "Z"(Haitokua na joto coz haikuwasha kabisa)
KAMA NIMEPATA NIJULISHE!