Umekosa!!!
97% ya wana jf wana akili za samaki
umeona Ruta? Lakini ww , Kaunga and few others mko kwenye 3%umegusa penyewe kabisa. Michango mingi humu ni vigumu kuamini ni ya wanadamu!
BACK TO THE TOPIC KAMA KUNA DIRISHA BASI KAZI NI MOJA TU>>>>>>>>>>>>>>>>>>CHUNGULIA DIRISHANI KILA WAKATI UNAWASHA TAA MOJA KWA KUUNGANISHA NA WAYA WAKE>>>>>>>>
Boflo je kama bulb zenyewe ni energy saver inakuaje maana huwa hazipati moto sana kutofautisha itakuwa ngumu
ninamkubali sana Kaunga na namwombea asibadilike abaki na misimamo hiyo hiyo. Lest she trust in her beauty and corrupt her wisdom, and fall to the wayside; and become a horror!
Amina, my first JF friend Rutashubanyuma.
There are three bulbs in a room and three switches outside. U are asked to match the switches with the bulb they control. Note that u can only enter the room once. How will u match them?