Terrorist attack in India

Wahusika mliofikwa na maafa hayo poleni sana.Watanzania mliopo india vipi usalama wenu mana naona mahotel ndio yamelipuliwa sana na najua wabongo kwa kujirusha mumepona kweli huko?Mliokaribu na maeneo ya matukio endeleeni kutupa yaliyojiri

NIMEONGEA NA UBALOZI SASA HIVI WAMESEMA WATANZANIA WOTE WAKO SALAMA.

Ila tatizo mara nyingi linakua pale ambaapo watanzania na hasa wafanyabiashara wanapofika huku bila kujiandikisha au kuacha taarifa ubalozini.Pia kuna watanzania ambao wanafanya biashara China au Pakistani unakuta wapo india kinyemela,sasa mambo kama haya ni hatari mno
 
Jamani kumetokea mlipuko mkubwa wa kishindo mjini
New Dhelli karibu na Apollo Hospital hivi punde kidogo. Nasikia tuu magari ya zimamoto na polisi wakielekea eneo la tukio. Siwezi kufuatilia maana hapa nilipo mimi ni too remote, saa hizi ni saa 6 usiku hapa Dheli.
Update ya shambulio la Mumbai mateka wote wameachiliwa, Taj Mahal bado kuna gaidi mmoja amejeruhiwa na bado kajificha. Oberohi kuna magaidi 2 na baadhi ya watu wachache, more up date kesho.
 
hamna any international channel iliyo declare hiyo habari mpya ya delhi....i think ol focus iko mumbai dats why...lets wait n see guys de only safe place in dis world to b ni bongo tuuu looh
 
hamna any international channel iliyo declare hiyo habari mpya ya delhi....i think ol focus iko mumbai dats why...lets wait n see guys de only safe place in dis world to b ni bongo tuuu looh

...mnh, mtaalam temea chini, wengine bado tuna scars za '98, US Embassy Tanzania na Kenya.

...40th hour since the 1st attack, naona magaidi bado wamesimama kidedea Taj Mahal Palace Hotel.

...Funzo hilo 'jamani', ohoo... 'copycats' opportunists can strike anywhere baada ya kuona 'loophole' hiyo ya security.
 
dah na kweli nilishasahau sie yetu ya 1998...

dah huko mumbai aisee hao majamaa yaelekea walikua ni noma,as ni siku ya ngapi sijui imebidi macomando ndo watumike sasa ila bado hawaja wamaliza kuwakamata wote, n heard dat death has ongezekad to 140 n zaidi..

n also heard there were new gunshots mchana huu

it is also shown commandos being dropped nw kwa kutumia ndege helicopters ku invade mojawapo ya majengo yaliyokua yametekwa na magaidi
 
pasco vp huko delhi kwenu uliko sema jana kulikuwa na mlipuko?maana so far havent heard anything like hilo kureportiwa wala anything from ur ends pia!vipi tena reporter wetu??au nawe uliamua kuelekea mumbai kabsaa??

nw the thing yaanza ingizwa siasa ndani yake which wil get so dangerous naona wmaeanza tena yale ya kushitakiana sijui ni wapakistan wamefanya hivi n wa pakistan wametoa report kuwa these things shudnt be taken kisiasa!
 
...

...naam, yale ya British-born-Pakistanis!
 
54th hour, the siege is going on, huh!...

Indian Special forces wanatolewa nishai sasa na hawa terrorists...

Stand off bado tuu?!

Shame!
 
54th hour, the siege is going on, huh!...

Indian Special forces wanatolewa nishai sasa na hawa terrorists...

Stand off bado tuu?!

Shame!

mwishoni after i don know hw many hrs it is declared kuwa de movie is over n wameua magaidi wa3 waliokua ndani bado ya hoteli.

iwe somo kwetu tz..je kasheshe kama hizi zikitokea tuna hata uwezo wa kupambana nao?
 
Kweli Kaka, nina wasiwasi sana hapaa hii kitu itokee kwetu, yaani itakuwa ni nomaa. Ila tuombe Mungu atuepushie hayo yoote maana jamaa hawachagui mwenyeji mgeni moto unaweza kukuwakia.
 
Kweli Kaka, nina wasiwasi sana hapaa hii kitu itokee kwetu, yaani itakuwa ni nomaa. Ila tuombe Mungu atuepushie hayo yoote maana jamaa hawachagui mwenyeji mgeni moto unaweza kukuwakia.

...Naam, naaam, Funzo!

1. waliteka meli ya uvuvi ilosajiliwa India, wakamuua rubani.

2. walikuwa wakitumia GPRS, na satellite phones, wakaingia kwenye pwani ya India.

3. kikundi cha magaidi 10, wameweza kuendesha siege kwa zaidi ya masaa 60, kuua watu zaidi ya 200...

4. walikuwa na layout knowledge ya kila sehemu walovamia, ikiwemo Hizo Hotels ambazo zina jumla ya vyumba 1000...(Imagine!).

60hrs Hide and seek baina ya terrorists na Special forces ndilo linalotisha zaidi, kuna haja ya "Our special forces" kupata layout ya kila jengo, mapya na ya zamani nchini.

Ukiona mwenzio anyolewa,...
 
Talk about the Anti Terrorism Squad and the Indian Army Commandos performance.....!
 
...Naam, naaam, Funzo!

1. waliteka meli ya uvuvi ilosajiliwa India, wakamuua rubani.

2. walikuwa wakitumia GPRS, na satellite phones, wakaingia kwenye pwani ya India.

3. kikundi cha magaidi 10, wameweza kuendesha siege kwa zaidi ya masaa 60, kuua watu zaidi ya 200...

4. walikuwa na layout knowledge ya kila sehemu walovamia, ikiwemo Hizo Hotels ambazo zina jumla ya vyumba 1000...(Imagine!).

60hrs Hide and seek baina ya terrorists na Special forces ndilo linalotisha zaidi, kuna haja ya [I]"Our special forces"[/I] kupata layout ya kila jengo, mapya na ya zamani nchini.

Ukiona mwenzio anyolewa,...
Hivi Bongo tuna special force ambayo iko ready? na kuna wanaopambana/angalia/ au the so called "Counter Terrorism force)?
 
Inatisha. Mwenyezi Mungu tunaomba utunusuru na kikombe hiki. Ikitokea tu mafuriko tunashindwa kuwaokoa watu. Ikizama meli au chombo cha majini usiombe, watakufa wengi watakaoweza kujitahidi kujiokoa kwa mbinu zao wenywe ndo watakaopona. Ukitokea tu moto kwanza ukipiga emergency numbers hazipatikani mwishowe wakija hata maji hayatoshi na zana mbovu. Mungu wangu Tanzania tunaomba utunusuru haya yasitokee jamani. Moyo wangu unapiga kwa kasi.
 
Chopra: What we have seen in Mumbai has been brewing for a long time, and the war on terrorism and the attack on Iraq compounded the situation. What we call "collateral damage" and going after the wrong people actually turns moderates into extremists, and that inflammation then gets organized and appears as this disaster in Bombay. Now the worst thing that could happen is there's a backlash on the Muslims from the fundamental Hindus in India, which then will perpetuate the problem. Inflammation will create more inflammation.

Read More:
Deepak Chopra Blames Washington For Mumbai Terrorist Attacks
 
Hivi Bongo tuna special force ambayo iko ready? na kuna wanaopambana/angalia/ au the so called "Counter Terrorism force)?

...I hope so :( , labda ICADON atusaidie kujibu. Iweje International terrorism ilotukumba 1998 US embassy Dsm, na kukamatwa magaidi wenye asili ya Kitanzania halafu bado tusiwe na hiyo special force?

...umewahi kufikiria Vulnerability ya ile 'White house' yetu pale magogoni na scenario kama hii ilotokea India? pangekuwa hapatoshi kwenye jumba lile la mjerumani, na lilivyo kubwa na vyumba vingi, Mw'Mungu atunusuru.
 
Huuu ni ushenzi wa hali ya juu.........kama Wamarekani na Waingereza ndio tatizo....why killing innocent Raia......kama mnataka kupigana si muende kule torabora.......shenzi type.........halafu hizi tabia za kigaidi tunazilea lea sana miongoni mwa jamii zetu........lets be careful.....otherwise tafrani kama ile ikizuka bongo....kizaa zaa chake sijui itakuwaje............
 
kwa bongo kwa kweli sina uhakika na hiyo squad kama ipo,na kama ipo well n gud ila kama mlivyoona kwa nchi kama india ambapo wanayo n they had to move them from delhi to mumbai kwa kutumia chopperz if m not mistaken sasa na sisi tujiulize je kama tunazo hizo squads na jeshi n everythin je ziko located angalau kila angle ya nchi yetu au ndo dar es salaam tu?

n je tuna vifaa vya kutosha kupambana na magaidi??like hata hizo ndege zetu ambazo zingefaa kuwa muvuzisha wanajeshi zinafanya kazi?maana nadhani sote twafahamu historia ya ndege zetu za jeshi,either haziruki,na zikiruka ndo hizo zaruka na watalii halafu zaanguka!

so most probably we wil rely on air tanzania if not roady way kuwawahisha kwenye matukio!

meanwhile guys lets jus pray kikombe hiki Mwenyeezi Mungu atuepushie!

maana sina uhakika hata hizo bullet proof vest ziko za kutosha bongo ukiacha special one kwa ajili ya baba wa familia yetu ya tz (jk)
 
Kwa mujibu wa Balozi wa Tanzania nchini India, Eng. John Kijazi, mpaka sasa hakuna Mtanzania yeyote aliyeripotiwa kuathirika na shambulio hili. Balozi Kijazi amesema alfajiri ya leo waliwasiliana na Watanzania wote walioko rasmi mjini Mumbai, wote wako salama.

Hata hivyo Balozi Kijazi amesema kuna wafanya biashara wengi wa Kitanzania ambao humiminika Mumbai kama waendavyo nchini China kutoa taarifa ubalozini lakini taarifa zozote zikipatikana, atanijulisha.
.
Niliinteract na Eng. John Kijazi, ni mtu poa sana, down to earth na mtu wa watu!. Mungu ambariki sana awe vile vile kama alivyokuwa akiwatumikia Watanzania India, sasa amefanywa mtumishi wa wote Tanzania!.

Hongera Eng. John Kijazi,

Pasco
 
Back
Top Bottom