Terrorist attack in India

Wamefanikiwa kuwaondoa baadhi ya waliokwama hotelini. Waziri Mkuu wa India ameitisha kikao cha dharura cha baraza la mawaziri baada ya kikao, PM atalihutubia Taifa.
 
it is shown kuwa there r more than 40 hostages still held up kwenye ghorofa ya mwisho ya hiyo hotel nyingine (not taj) ambayo ina kama ghorofa ishirini na kitu!

so it means leo india ni siku ya mapumziko????

pasco wafaa sana kuwa reporter wa matukio..ukirudi bongo ukajiajiri aisee kwenye media
 
Wamefanikiwa kuwaondoa baadhi ya waliokwama hotelini. Waziri Mkuu wa India ameitisha kikao cha dharura cha baraza la mawaziri baada ya kikao, PM atalihutubia Taifa.

Asante sana Mkuu kwa updates kutoka India.nakuomba ukae makini maana
hawa materoristi hawaaminiki.Stay safe bro na zidi kutupa majamboz on
'live time'.
 
wat i don get is wameshow sijui top security official waindia naye ameuwawa kwa kupigwa risasi wakmshow aki arrive kwenye crime scene akavaa kofia tu without havin any bullet proof vests n aka proceed kusogelea eneo la tukio,5minutes later it was confirmed kapigwa risasi tena kifuani where de vest ilitakiwa iwepo

ma qn is ni kuwa hizo vest hamna india ama?maana nimeona tumeambiwa only cnn wandishi ndo waliokua nazo hence ndio waliruhusiwa kusogelea ndani,nw even wakubwa wa upelelezi nao hawana?
 
This is what happens when an individual doesn't approach issues with
the seriousness they deserve. Vest wanazo lakini ni ubabe na uzembe wa
jamaa uliom-cost maisha yake.
 
Big Up Pasco for ur update......kuwa makini huko.Hawa mujahideena ni waislamu?

Mujahideen ni wasilamu...God's Warriors in another translation.
Ukiona mabomu na 'westerners' wakitafutwa, basi jua ni materoristi wa kiislamu

Meanwhile death toll ishafika watu mia na....(still counting)
 
wat i don get is wameshow sijui top security official waindia naye ameuwawa kwa kupigwa risasi wakmshow aki arrive kwenye crime scene akavaa kofia tu without havin any bullet proof vests n aka proceed kusogelea eneo la tukio,5minutes later it was confirmed kapigwa risasi tena kifuani where de vest ilitakiwa iwepo

ma qn is ni kuwa hizo vest hamna india ama?maana nimeona tumeambiwa only cnn wandishi ndo waliokua nazo hence ndio waliruhusiwa kusogelea ndani,nw even wakubwa wa upelelezi nao hawana?

Alikuwa head wa Anti Terrorism Squad.
 
Nafikiri hili liwe funzo kwetu magaidi sasa wanaleta aina nyingi za mashambulizi kwa watu wasiohusika na migogoro yao hii naamini vyombo vya usalama bongo vitachukulia hii kama changamoto yao mpya
 
Pasco, kuna mtanzania aliyefariki au kujeruhiwa katika tukio hilo?

Kwa mujibu wa Balozi wa Tanzania nchini India, Eng. John Kijazi, mpaka sasa hakuna Mtanzania yeyote aliyeripotiwa kuathirika na shambulio hili. Balozi Kijazi amesema alfajiri ya leo waliwasiliana na Watanzania wote walioko rasmi mjini Mumbai, wote wako salama.

Hata hivyo Balozi Kijazi amesema kuna wafanya biashara wengi wa Kitanzania ambao humiminika Mumbai kama waendavyo nchini China kutoa taarifa ubalozini lakini taarifa zozote zikipatikana, atanijulisha.

Wakati huo huo shughuli za mazishi ya wahanga wa tukio hili la ugaidi zimeanza. Mwili wa kamanda wa kikosi cha kuzuia ugaidi nchini India, aliyefariki kwa mlipuko, ulionyeshwa wazi wazi kwa taratibu za jamii ya Baniani ambapo uliagwa kwa kumwagiwa maua kabla ya kuteketezwa kwa moto.

Mpaka sasa waliokufa ni zaidi ya 100, majeruhi zaidi ya 300. Magaidi 9 wameuawa, wengine 9 wametiwa mbaroni. Polisi 15 wameuwawa na watu kadhaa bado wameshikiliwa mateka katika hoteli za Taj Mahal na Oberoi na idadi ya magaidi waliobaki haijathibitishwa. Polisi wamewekwa pembeni, juhudi za uokoaji zinafanywa na makomandoo wa jeshi la India.
 
Huku India siku hizi ni very unsafe. serikali ya Congress imeshindwa kabisa kuimarisha usalama wa Nchi,wasipokua makini next main election watabwagwa vibaya

sasa tutashuhudia maporomoko makubwa ya masoko ya hisa,kama Mumbai masoko ya hisa leo hayafanyi kazi ,soko la hisa Asia litaathirika pia
 
nimeona CNN sasa hivi kwamba kuna multiple attacks ya ma-terrorist india na wana target Americans
Gunmen strike at series of targets popular with tourists and business people

Seventy-eight reported killed, almost 200 injured

Ongoing gunbattles reported at two hotels

CNN-IBN reports hostages taken at two five-star hotels
Wahusika mliofikwa na maafa hayo poleni sana.Watanzania mliopo india vipi usalama wenu mana naona mahotel ndio yamelipuliwa sana na najua wabongo kwa kujirusha mumepona kweli huko?Mliokaribu na maeneo ya matukio endeleeni kutupa yaliyojiri
 
Nawapa pole sana wafiwa. Ila shambulizi hili limekuwa kama vita vya uvamizi katika jiji la Mumbai. Kama mnakumbuka last week meli ya kivita ya India ilizamisha meli ya Somali pirate, je hakuna ulipizaji wa kisasi hapo?
 
Back
Top Bottom