KIHENGE
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 339
- 98
Chadema mnakishambulia Cuf kuficha uovu wenu hapa kifutwe cdm na Cuf itakuwa sawa. Slaa kampeni zake kanisani na Lipumba msikitini.
huwezi kutofautisha ccm na cuf
Chadema mnakishambulia Cuf kuficha uovu wenu hapa kifutwe cdm na Cuf itakuwa sawa. Slaa kampeni zake kanisani na Lipumba msikitini.
hahahahah udini na ukabila vipi mwenyekiti wako hujamwona kwenye video mkuu!Mwenye akili kidogo ni ww unaeshabikia chama cha udini na ukabila, unatokwa na mapovu utafikiri umeshikwa kinyeo.
tawi la ccm lifutwe na nani?
mke anamwezesha mme kula mpaka anashiba halafu mme amwache mke umewahi ona wapi?
wewe unataka ajiite msusi?
CUF YALAANI BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI KUTUMIKA KISIASA KUENEZA UDINI.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
CUF TUNALAANI BAADHI YA MAGAZETI KUENEZA UCHOCHEZI WA KIDINI
Imetolewa na Abdul Kambaya
Naibu Mkurugenzi Habari, Uenezi na Haki za Binadamu
Mei 26, 2013
CUF Chama cha Wananchi tumesikitishwa na baadhi ya magazeti (hususani Tanzania Daima) kuchochea hasama za kidini, na kuwabagua wananchi kwa mujibu wa imani zao huku wakihusisha chochezi hizo na baadhi ya Vyama vya kisiasa na viongozi wao, katika toleo Namba 3096 la Jumapili, Mei 26, 2013.
Kwa mujibu wa waandishi wa gazeti hilo George Maziku na Josephat Isango, ambalo linanalochapishwa kila siku na linamililokiwa na kampuni ya Freemedia ambapo umiliki wake unahusishwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Mandeleo (CHADEMA) Freeman Mboe, muhusika mkuu aliehusishwa na tuhuma hizo za udini ni Prof. Ibrahim Haruna Lipumba Mwenyekiti wa CUF Chama cha Wananchi.
Gazeti hilo pamoja na mambo mengi waliyoandika ambapo undani wake na tafsiri ni kutaka kuwaonyesha wananchi kuwa Prof. Ibrahim Lipumba na Dk. Jakaya Mrisho Kikwete wakiwa ni wenyeviti wa vyama vyao na walikokuwa wagombea urais mwaka 2010 waligubikwa na imani za udini na waliendesha kampeni zao kwa kutegemea kura za waislam, na Prof. Lipumba amekuwa akitumia misikiti na viongozi wa dini hiyo ili waislam nchini waandelee kukiunga mkono chama chake, na hasa katika uchaguzi ujao wa mwaka 2015.
Katika kuonyesha kuwa gazeti hili la Tanzania Daima limekusudia kuvigawa vyama vya siasa kwa falsafa ya udini, ni pale mwandishi anapomshutumua Rais Kikwete kwamba mwaka 2010 pamoja mgombea huyo wa CCM kuwashiwishi viongozi wa dini ya Kiislam kuwakataza waumini wao wasimuunge mkono mgombea wa CHADEMA ambae alishawahi kuwa Padre Dk. Silaa na ametumwa na Kanisa Katoliki lakini pia Propaganda hizo za Rais Kikwete alizielekeza kwa viongozi wa CUF na wafuasi wao kumpigia kura Muislam mwenzao yeye Kikwete huku wakiahidiwa kuwa Waislam wa CCM watampigia mgombea CUF mwaka 2015 kwa hoja kuwa CCM watakuwa wamesimamisha mgombea mkiristo.
CUF Chama cha Wananchi hatushangazwi na gazeti hili ambalo uandishi wake linatumikia utashi wa mmiliki wake, ambapo mwaka huu wameibuka wakiwa katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumuhusisha Rais Jakaya Kikwete na tuhuma za udini, hususani uislam, na hivyo wanataka pia tuhuma kama hizo wamuhusishe nazo Mwenyekiti wetu Prof. Ibrahim Haruna Lipumba.
CUF Tunatambua kuwa Mwenyekiti wetu Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ni Muislam, chama hakitoweza kumzuia kuhudhuria ibada katika msikiti wowote atakaotaka kwenda kuabudu na hata kualikwa iwe msikitini, kanisani na hata kwenye mahekalu ya kihindu na kutakiwa kutoa hutoba kwa waumuni wenzie au waliomualika, kama wafanyavyo viongozi wengine wa vyama vya siasa vikiwemo CHADEMA, CCM na vyama vingine, ambapo kumbukumbu zinaonyesha kuwa Rais wa awamu ya nne Benjamin William Mkapa alipokuwa madarakani alitangaza kuwapa Waislam chuo cha Tanesco Morogoro na kuwa Chuo Kikuu cha Kiislam na kutoka kauli kama ya Prof. Ibrahim Lipumba ya kuwataka Waislam Wajipange kwenye ibada aliyoalikwa na Waislam.
CUF Tunasisitiza tunalaani gazeti hili la Tanzania Daima na tutaendelea kulaani chombo chochote kinachotaka kuwagawa Watanzania wawe ni Viongozi au wananchi kwa misingi ya dini zao, na tunaitaka Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo kutovifumbia macho vyombo ambavyo vinataka kutupeleka kusiko na hasa ukizingatia nchi yetu kwa sasa umegubikwa na matukio mengi yahusuyo migongano katika dini zetu na uharibifu wa nyumba za ibada.
Kwa mawasiliano zaidi 0719 566567
afute kwanza chadema chama cha wakristo, wachungaji na mapdri,
na watetezi wa wakristo bungeni.
mukipamba namna hiyo manake munaiongezea wanachama wa kiislamu wajiunge zaidi na cuf.
Hapo kwenye RED, hiyo ndiyo tunaita kutapatapa. In short Mwenyekiti wenu LIPUMBA siku ile aliizika CUF, sijui hakujua kama kuna VIDEO SHOOTING?, Maskini Liprofeserriiiiiii wa UCHUMIDINI
Ni mkakati uleule uliowajaza Wakristo Dar na miji mingine ya Waislamu ndio uliokuwa ukitumika kupora ardhi za Waislamu na kuwajaza Wakristo Mombasa.
Hii ndio iliyowafanya watu wa Likoni na maeneo yake kuanzisha "Kayabombo" ili kuinusuru ardhi yao,Wazanzibari wana UAMSHO yao, Waislamu wa Tanganyika "bange" la nyerere lilikuwa bado likiwazingua!
Hivi mnafikiri Chadema ikipiga kampeni Makanisani mziki wake mtauweza! Kama Mapadre, Maaskofu na wachungaji wote wakiamua kuubili uzuri wa Chadema makanisani nani atasimama? Kwa taarifa yako kuna sehemu hapa nchini serikali ikisema fanya hivi na padre akasema msifanye, watamsikiliza padre kuliko serikali.
si kifutwe chama cha kigaidi kwanza kinachoongozwa na lwakatare na slaa, au unaonaje ndugu?
walimfukuzwa kwa kula pesa za ujio wa Papa,lingine alizaa watoto wawili,wakati Upadre wa RC hawaruhusiwi kuoa kwahiyo alikuwa anazini alafu anaenda kusalisha zaidi ya miaka 18.kwan anaitwa Padri Slaa? si alishaacha try to speak your mind sio maneno uliyoambiwa msikitini 2010
manyimbo; kumbe lengo ni kuifuta cdm! Mbinu zingine za kupata ushindi 2015 kwa ccm zimeshindikana? Kazi ipo.Kumbe ccm ilianzisha....Hahahahaaaaaa
Mimim binafsi niliuona, kuusoma na hauhitaji tafsiri yoyote.Tena uko hapa JF.Hakuna hata dalili ya udini zaidi ya kuhamasisha watu wakapige kura kwa uhuru na wakachague wanayemtaka. Tuletee walau sentence moja inayoonyesha udini ktk ule waraka
nani amekwambia alifukuzwa? je unajua aliandika barua ya kuomba aingie maisha ya ulei(laicization)je wajua hayo usiropoke tu.kufanya utafiti juu ya kitu si dhambiwalimfukuzwa kwa kula pesa za ujio wa Papa,lingine alizaa watoto wawili,wakati Upadre wa RC hawaruhusiwi kuoa kwahiyo alikuwa anazini alafu anaenda kusalisha zaidi ya miaka 18.