Tendwa Unasubiri nini kukifuta Chama Cha CUF?

Tendwa Unasubiri nini kukifuta Chama Cha CUF?

Chama kina mgombea Urais Padri hicho ndo cha kufutwa kwanza.Waislamu wamekwisha amka sasa hivi endeleeni kuimba mapambio hadi kwenye majukwaa ya siasa mkidhani mtapata kura za kanisani pekee yake zitawafikisha.

Kumbuka slaa alikuwa CCM, wakamuondoa kwenye kura za maoni akahamia CHADEMA, au mna allergy na mtu aliewahi kuwa padri. Any way, Watanzania mtaendelea na hisia za kidini hadi kiama. Naona sasa hivi mnaangalia kiongozi wa juu ni wa imani gani then mnamchukia
 
ameshindwa kutenda sasa atendwe tu.... tujue moja.

'na atatendwa kweli mi nakwambia we ngoja tu uone mda si mref sio..............hiyo siku ya kutendwa natamani na mii niwepo angalau nimtende walau kidogo aisee,pam-mbaaaf'
 
Waulize jamaa zako huko sumbawanga mpaka radio yao ilikuwa inapiga Kampeni.kikwete na Aesh washkuru mungu, kwani hujawahi kusikia kuna wakatoliki mpaka leo wamefukuzwa dini?

Propaganda chafu hizi, LIPUMBA KAMALIZA AJENDA YA SIRI
 
Mtu yeyote anayetetea Prof. Lipumba na alichofanya kwenye Video inabidi aende Mirembe akachunguzwe akili zake. hatukujua kwamba Prof ni mnafiki. Imagine kama angekuwa Rais wetu. Mungu ni Mkubwa.
 
Chama kina mgombea Urais Padri hicho ndo cha kufutwa kwanza.Waislamu wamekwisha amka sasa hivi endeleeni kuimba mapambio hadi kwenye majukwaa ya siasa mkidhani mtapata kura za kanisani pekee yake zitawafikisha.

Naomba nikuulize swali, katiba inazuia shekhe kugombea uongozi?, mbona sisi mwenyekiti wetu wa mtaa ni Shekhe kupitia CHADEMA na tunamkubali kwa utendaji wake wa kazi, tuna mpango wa kumshawishi agombee udiwani
 
Hapo kwenye RED, hiyo ndiyo tunaita kutapatapa. In short Mwenyekiti wenu LIPUMBA siku ile aliizika CUF, sijui hakujua kama kuna VIDEO SHOOTING?, Maskini Liprofeserriiiiiii wa UCHUMIDINI

Mimi nilivyomuelewa Professor ni kuwa: Alikuwa anaonyesha jinsi kampeni chafu zilivyokuwa upande wa pili kupitia kanisa. Ikabidi kuokoa jahazi.
Suala la kufa CUF tusubiri tuone kama itakufa. Na pengine itaduwaza jamii! simba mwenda pole!!
 
Hapo kwenye RED, hiyo ndiyo tunaita kutapatapa. In short Mwenyekiti wenu LIPUMBA siku ile aliizika CUF, sijui hakujua kama kuna VIDEO SHOOTING?, Maskini Liprofeserriiiiiii wa UCHUMIDINI

Kauli hii inathibitisha mahusiano baina ya CCM na CUF na mkakati wao wa pamoja dhidi ya CDM.

Ngoja tueendelee kuvuta pumzi.
 
Ndugu yangu usiseme usilolijua. Hapa Tanzania tushukuru Mungu viongozi wa dini ya Kikristu wanauelewa wa juu. Wakiamua kupiga kampeni Makanisani kusupport chama chochote hakuna atakayeweza kukipinga. Unafikiri kama Mapdre wangeamua kupiga kampeni kanisani viongozi kama Kagasheki wangekuwa wabunge?[/QUOTE]

Mkuu hapo kwenye RED umeongea point, BUKOBA NDIYO NGOME YA KANISA KATHOLIC lakini bado Hamis Kagasheki amegombea na akawa mbunge, Mbona hakuchaguliwa mbuge Mkristu (LWAKATARE)?. My fellow Muslim think big plz
 
Lipumba ni mtu makini na ataendelea kuwa hivyo, nafikiri baada ya Nyerere Mungu ametuzawadia Lipumba tatito generation iliyopo haijui kutumia vipaji. Alijua anaongea nini na ndicho alichoongea na alijua analihutubia taifa, anarekodiwa na CD zitauzwa. Inshort baadhi ya aliyoyasema hapo aliyasema katika mkutano wa hadhara pale viwanja vya Zakhem Mbagala March 27 mwaka jana.
Anayefanya kampeni ya kutaka kumuonyesha Lipumba kuwa ni kiraza, amepotea sana. Lipumba is bright na anajitambua, sijui unamfananisha na kiongozi wako gani wa kisiasa katika nchi hii. Ndio maana analoliongea si kila mtu anaweza kulielewa, wengi mtahitaji tafsiri katika lugha nyepesi ili muelewe. Poleni sana huyu ndio Lipumba lulu isiyotumika nyumbani. Sikilizeni vizuri anachokisema bila kuweka ushabiki mtaelewa. Udini hauna faida na hakuna anayeupenda na nguvu kama hizi zitumike mnapoubiriwa siasa kanisani. Acheni woga kwa maana mnakijua mnachokifanya chini ya kapeti katika nyumba zenu za ibada.
 
Hivi mnafikiri Chadema ikipiga kampeni Makanisani mziki wake mtauweza! Kama Mapadre, Maaskofu na wachungaji wote wakiamua kuubili uzuri wa Chadema makanisani nani atasimama? Kwa taarifa yako kuna sehemu hapa nchini serikali ikisema fanya hivi na padre akasema msifanye, watamsikiliza padre kuliko serikali.

Unazungumzia wale padre wanaoingiza na kuuza dawa za kulevya tz pia wanaotajirika kwa sadaka zenu hapo kweli lazima utawasikiliza hao na kama kufutwa ni chadema pamoja na cuf vyote havistahiki kuwa vyama vya siasa.
 
Ndugu yangu usiseme usilolijua. Hapa Tanzania tushukuru Mungu viongozi wa dini ya Kikristu wanauelewa wa juu. Wakiamua kupiga kampeni Makanisani kusupport chama chochote hakuna atakayeweza kukipinga. Unafikiri kama Mapdre wangeamua kupiga kampeni kanisani viongozi kama Kagasheki wangekuwa wabunge?[/QUOTE]

Mkuu hapo kwenye RED umeongea point, BUKOBA NDIYO NGOME YA KANISA KATHOLIC lakini bado Hamis Kagasheki amegombea na akawa mbunge, Mbona hakuchaguliwa mbuge Mkristu. My fellow Muslim think big plz
 
Lipumba ni mtu makini na ataendelea kuwa hivyo, nafikiri baada ya Nyerere Mungu ametuzawadia Lipumba tatito generation iliyopo haijui kutumia vipaji. Alijua anaongea nini na ndicho alichoongea na alijua analihutubia taifa, anarekodiwa na CD zitauzwa. Inshort baadhi ya aliyoyasema hapo aliyasema katika mkutano wa hadhara pale viwanja vya Zakhem Mbagala March 27 mwaka jana.
Anayefanya kampeni ya kutaka kumuonyesha Lipumba kuwa ni kiraza, amepotea sana. Lipumba is bright na anajitambua, sijui unamfananisha na kiongozi wako gani wa kisiasa katika nchi hii. Ndio maana analoliongea si kila mtu anaweza kulielewa, wengi mtahitaji tafsiri katika lugha nyepesi ili muelewe. Poleni sana huyu ndio Lipumba lulu isiyotumika nyumbani. Sikilizeni vizuri anachokisema bila kuweka ushabiki mtaelewa. Udini hauna faida na hakuna anayeupenda na nguvu kama hizi zitumike mnapoubiriwa siasa kanisani. Acheni woga kwa maana mnakijua mnachokifanya chini ya kapeti katika nyumba zenu za ibada.

Kusema wa dini fulani wajipange ndiyo U-bright?, kusema kachaguliwa kuwakilisha imani fulani ndiyo U-bright?, kusema Serikali imvue Mnyika Ubunge awekwe Hawa ndiyo U-bright?, kusema Gesi iko maeneo ya watu wa imani fulani ndiyo U-bright?
 
Kagalala said:
Mkuu hapo kwenye RED umeongea point, BUKOBA NDIYO NGOME YA KANISA KATHOLIC lakini bado Hamis Kagasheki amegombea na akawa mbunge, Mbona hakuchaguliwa mbuge Mkristu. My fellow Muslim think big plz
Mnyika Ubungo, yule jamaa yenu Kigamboni...
Ni Wakristo ndio wanaotakiwa ku think big if not twice!
 
Sheria za nch yetu ni butu sana hakuna kitakachotokea hapo kwani tunakua tukijua kua nchi yetu ni NON SECULAR STATE,ila ukiangalia mambo yanayofanyika ndio utagundua kua hamna cha non wala nini mda umefika kwa sheria za nchi kuwa kali na watu wawe chini ya sheria.

"IF I DO GOOD I FEEL GOOD AND IF I DO BAD I FEEL BAD AND THAT IS MY RELIGION"LINCOLN.
 
Angekifuta kwanza chadema kwa kusigina katiba yake,kumlazimisha zitto kabwe kujitoa kwenye kinyan'ganyiro cha uwenyekiti.live watanzania wote waliona.maana ya cdm ni chama demokrasia na maendeleo.swala la lipumba si la kweli ni la kuungaunga.

Suala ni kujadili hoja iliyo mezani,sioni mantiki ya kuingza masuala mengine kama ya CDM?
 
Mnyika Ubungo, yule jamaa yenu Kigamboni...
Ni Wakristo ndio wanaotakiwa ku think big if not twice!

Wakristu hawana udini ila muamko wao wa kimaendeleo, kusoma kwa bidii ndiyo kinachowaponza hata kule Mombasa Kenya
 
Kusema wa dini fulani wajipange ndiyo U-bright?, kusema kachaguliwa kuwakilisha imani fulani ndiyo U-bright?, kusema Serikali imvue Mnyika Ubunge awekwe Hawa ndiyo U-bright?, kusema Gesi iko maeneo ya watu wa imani fulani ndiyo U-bright?

Ndio maana nimesema sikilizeni vizuri na msiwe na tafsiri moja. Pale alikuwa naongea na Waumini,Wakazi wa Dar na watanzania. Kumbuka yeye mwenyewe anatoka Tabora sio Pwani. amezungumzia kundi la wanyonge na walala hoi.
 
'kuna waraka flani hivi wa chadema na kanisa kama skosei ni kanisa katoliki mkuu ulienea sana tu hivi ulishawahi kuusoma.............ilikuwa ni kuelekea kipidi cha pili cha kandanda i.e to 2010,uliwahi kuuona'

Mimim binafsi niliuona, kuusoma na hauhitaji tafsiri yoyote.Tena uko hapa JF.Hakuna hata dalili ya udini zaidi ya kuhamasisha watu wakapige kura kwa uhuru na wakachague wanayemtaka. Tuletee walau sentence moja inayoonyesha udini ktk ule waraka
 
Ndio maana nimesema sikilizeni vizuri na msiwe na tafsiri moja. Pale alikuwa naongea na Waumini,Wakazi wa Dar na watanzania. Kumbuka yeye mwenyewe anatoka Tabora sio Pwani. amezungumzia kundi la wanyonge na walala hoi.

Anasema Shekhe alimpongeza kwa kuhudhuria kutangazwa JK kuwa Rais ''ETI KITENDO HICHO KILIKUWA NI CHA KUTETEA IMANI"
 
SIRI YA USHINDI WA URAIS MWAKA 2010 NA NYUFA ZA UDINI.

Si jambo la kificho kuwa siasa za Tanzania zinachochea udini. Makanisa yamegeuka kuwa "wakinga mabakuli" wakubwa kutoka kwa wanasiasa wenye uchu wa wazi wa kuwania nafasi za uongozi wa juu wa nchi. Kila mara tunashuhudia harambee ati kuchangia makanisa.

Waendeshaji wakubwa wa harambee hizi ni viongozi wa serikali na viongozi wakuu wastaafu ambao ni wakristo. Si vibaya kuchangia makanisa au kusaidia katika harambee. Lakini, hivi ni sura gani tunayojenga katika jamii kwa kuzifanya harambee hizo kuwa za kisiasa? Je, hatujui kuwa harambee hizi zinatumia dini katika kutimiza ndoto za kisiasa? Na kama tunalalamika kuhusu nyufa la udini linalotukabili, tunawezaje kukwepa ushiriki wetu kuukuza udini kama tunaendekeza zaidi uchu wa fedha kutoka kwa hao wanasiasa, na kujifanya ati hatujui malengo yao?

Napenda kusisitiza kuwa maaskofu wanastahili kubebe mzigo wa lawama kwa kufumbia macho suala la wanasiasa (wakristo) kutumia madhabahu kujitangaza kisiasa. Kwangu mimi huu ni udini! Kwani ni lazima harambee hizi zifanywe na wanasiasa? Kipi ni ghali zaidi, kukosa fedha zenye muelekeo mchafu au kuligawa taifa? Kwa bahati mbaya sana maaskofu (hasa wa kikatoriki na KKKT) wanajifanya hawalioni tatizo hili.

Prof. Lipumba si askofu wala si mkristo. Lakini yeye na wengine wameliona tatizo na wanonesha hisia zao kwa jinsi ambayo wameamua wao kwa mtazamo wao. Anasema wanajipanga (yaani wakristo) na wao pia (waislamu) wanaaswa kujipanga! Nakubaliana na Lipumba kuhusu nia na mwelekeo mbaya wa viongozi wa kikristo kuendekeza wanasiasa wenye muelekeo wa udini. lakini sikubaliani na wito wake wa wao pia kujipanga.

My take: Upanga umegusa mfupa ndio maana wanyewe wanabweka:

Tatizo la Tanzania ni mfumo "kristo". NI JOKA LA MDIMU. KILA UKILIPA CHAKULA LITAPIGA KELELE "SIJASHIBA"!!!
NA UKILISOGELEA KARIBU "LITAKUMEZA"!
 
Back
Top Bottom