Hakuna mchungaji wala askofu aliyewahi kutamka popote kwamba wakristo wawachague wakristo wenzao kama ambavyo Lipumba anakili kwamba Mashehe walifanya kazi ya ziada kumuwezesha Kikwete ashinde. Tunachokiona zaidi ni kwamba wachungaji na maaskofu kutokana na ulimbukeni wao pasipokujua kama wenzao waislamu walikuwa wanapiga kura kwa misingi ya udini, wakamtangaza Kikwete kama mteule wa Mungu. Haya yalisemwa na watu mhimu sana akiwemo msaidizi wa Pengo wa wakati huo.
Nina uhakika kama wangejua kwamba waislamu wanapiga kura kwa misingi ya Udini, katu wachungaji na maaskofu wasingeingia chaka kiasi kile. Sasa mtuambie na ninyi ni shehe gani na wa msikiti gani aliwahi kutangaza kwamba Slaa ni chaguo la Mungu? Ni padri gani, wa kanisa gani aliwahi kuwaambia wakristo wamchague Slaa kwa kuwa ni Mkristo mwenzao.
Ukisoma hiyo unayoiita ni ilani iliyoandaliwa na TEC, utaona inatoa general comments tofauti na kauli iliyotolewa na shura ya maimamu ambayo inawaasa waislamu wasigawanye kura zao badala yake wampe mmojawapo kati ya Kikwete au Lipumba. Tuambieni ni mahali gani wakristo walitamka hayo.
Kubalini kwamba nyie ni wadini na mkubali kwamba udini wenu ndiyo unaliangamiza taifa hili. Ni huu udini wenu ndiyo unawasukuma mchome makanisa, muue mapadri na wachungaji. Mbona hatujasikia msikiti umechomwa? Waislamu ni wadini na wabinafsi sana tu. Mkubali hilo, na muyarudie mafundisho ya Mtume kwa kuwa yeye amewafundisha kuwa na upendo, lakini nyie mnafundishana kuwa na chuki. Na mdini wenu namba moja Kikwete anasema eti waislamu walichokozwa hana hata haya? Kwani hajui kilichosababisha Quran kukojolewa yalikuwa ni mabishano ya watoto?
Kubalini kwamba mlipotoka, na sasa mrudi kwenye mstari kwa maslahi ya nchi. Mstake kuiingiza nchi vitani kwa ajili ya dini za waarabu na wazungu. Tuna dini zetu za jadi ni za maana sana kuliko hizi dini za kuletwa kwa ndege na Meli.