Hahaha, jamaa yangu unanifurahisha. Waislam pigeni shule ili tupunguze vikundi vya itkadi kali
Mboa unachanganya mada kaka? Issue yako ni Lipumba au waislamu wote? Kwani CHADEMA ni wakristo watupu?
Mimi sijui wewe uliyesoma tutakutofautishaje na hao unawaita hawajasoma!
Kusomea kufunga vidonda ndio unaona umepata elimu wakati kila mwisho wa mwezi unapanga foleni kusubiri mshahara wa siku kumi ili uutumie mwezi mzima!
Acha ujinga, wewe huna elimu yoyote ya kujisifia humu jukwaani, haizidi degree ya kudesa ambayo haikuwezeshi hata kutengeneza kiberiti!