Halafu Lipumba anajiita Mchumi???
wewe unataka ajiite msusi?
Halafu Lipumba anajiita Mchumi???
Angeanza kukifuta chadema ambacho kampeni za 2010 zilihamishiwa kanisani.
Lipumba akiwa kwenye nyumba ya ibada alidhibitisha kuwa mwaka 1995 aliombwa agombee Urais ili kuwakilisha watu wa Imani yake. Pia Mwaka 2010 Yeye na viongozi wa dini yake walizunguka nchi nzima ili kumuokoa Kikwete dhidi ya mziki mzito wa CHADEMA. Pia Amewataka watu wa dini yake wajipange mwaka 2015 ili waokoe jahazi kupitia CUF.
Sasa kwa MANENO KAMA HAYO YA LIPUMBA ni wazi kwamba CUF ilianzishwa maksudi kwa ajili ya watu wa imani fulani. CUF ni sawa na Chui alievaa ngozi ya Kondoo. Mimi niliwahi kuvutiwa na Sera za LIPUMBA wakati fulani.
Kwa ushahidi wa wazi kama huo, TENDWA UNASUBIRI NINI KUFUTA CHAMA HIKI HATARI AMBACHO HAKIWAKILISHI WATANZANIA WA IMANI ZOTE?
...Yaani Zitto mnapenda sana kumtumia. Bahati nzuri naona naye siku hizi kawashtukia - siku hizi amesimama imara kukijenga chama na kukemea udini. Keep it up Zitto!Hata mimi pia ninajiuliza Zitto Kabwe anasubiri nini Chadema?.
chama cha kupanga mauaji hakiwezi kuwa chama pendwa, mind you!!!!!!!!
Leta ushahidi wa video kama tulivyoleta wa Lipumba!Angeanza kukifuta chadema ambacho kampeni za 2010 zilihamishiwa kanisani.
Tendwa anacho fanya ni kukenua na kutuonesha mwanya wake, na kula pesa ya wananchi, sioni umaana wowte wa yey kuwa hapo...kuna siku alikuwa anahojiwa, yeye akajibu "unajua tatizo la hivi vyama vya wenzetu shida yao wana taka chama tawala kitoke madarakani..." hopeless!
[TABLE="width: 1"]Lipumba akiwa kwenye nyumba ya ibada alidhibitisha kuwa mwaka 1995 aliombwa agombee Urais ili kuwakilisha watu wa Imani yake. Pia Mwaka 2010 Yeye na viongozi wa dini yake walizunguka nchi nzima ili kumuokoa Kikwete dhidi ya mziki mzito wa CHADEMA. Pia Amewataka watu wa dini yake wajipange mwaka 2015 ili waokoe jahazi kupitia CUF.
Sasa kwa MANENO KAMA HAYO YA LIPUMBA ni wazi kwamba CUF ilianzishwa maksudi kwa ajili ya watu wa imani fulani. CUF ni sawa na Chui alievaa ngozi ya Kondoo. Mimi niliwahi kuvutiwa na Sera za LIPUMBA wakati fulani.
Kwa ushahidi wa wazi kama huo, TENDWA UNASUBIRI NINI KUFUTA CHAMA HIKI HATARI AMBACHO HAKIWAKILISHI WATANZANIA WA IMANI ZOTE?
[/TD]Itakuwa njaa tuna mimi nauliza kwamba Julius Mtatiro nae anasubiri nini humo?
mwaka 2010,kanisa lilitoa waraka wake wa kuwataka waumini wao wamchague kiongozi na wakatoa sifa,kwa mujibu wa maneno yako ina maana waraka ulikua unawambia wamchague nani?na Je walimchagua?Hivi mnafikiri Chadema ikipiga kampeni Makanisani mziki wake mtauweza! Kama Mapadre, Maaskofu na wachungaji wote wakiamua kuubili uzuri wa Chadema makanisani nani atasimama? Kwa taarifa yako kuna sehemu hapa nchini serikali ikisema fanya hivi na padre akasema msifanye, watamsikiliza padre kuliko serikali.
Leta ushahidi wa video kama tulivyoleta wa Lipumba!
Angekifuta kwanza chadema kwa kusigina katiba yake,kumlazimisha zitto kabwe kujitoa kwenye kinyan'ganyiro cha uwenyekiti.live watanzania wote waliona.maana ya cdm ni chama demokrasia na maendeleo.swala la lipumba si la kweli ni la kuungaunga.
Leta ushahidi. Ni nani amefukuzwa kanisani au msikitini kwa kosa la kuiunga mkono CCM?Kuna watu wamefukuzwa dini kwa sbb ya kukiunga mkono ccm, dini nyingine bwana unafukuzwa na binadamu mwenzako.