mwambie ajaribu aone mtiti wake kama patakalika.
KITANUKA!! Wajue wazi kuwa vijana nchi nzima watahakikisha kuwa hawa wazee wa chama cha magamba hawapati amani nyumbani kwao wanakojificha ndani ya maghorofa yao na hizo nyumba zao ndio zitakuwa jela zao!! Do not underestimate the power of the people. People will go underground and that will be the end of peace in this country!