Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 20,690
- 20,451
Kwani Tendwa amekuambiaje?kwani CDM inakua au inaporomoka?

Haya yamezungumzwa na mh Tendwa kuwa upinzani unakuwa kwa kasi ya 40 asilimia na magamba yanaporoka. Kuna watu humu jamvini wakiambiwa huwa wanabisha sana nadhani sasa wataelewa maana hata hao wakubwa wao wanalijua hilo. Source: Nipashe
Tendwa amemua kuwafurahisha tu magwandwa lakini haimanishi anachokisema
unataka kusema hata uchaguzi wa igunga haujakufunza kitu kuhusu hilo la tendwa?,dah kama hvyo basi tena na wanamapinduzi wana kaz ngumu kwel kweli.Haya maneno ndio km yaliyosemwa humu kuhusu takwimu za igunga oooh 74% cdm watashinda, ambapo hali halisi sivyo watu wamelambishwa mchanga huku kidevu kiko chini mkia uko juu.
Tunataka kusikia upinzani umeingia ubia na kampuni la kufuwa umeme wa bei poa, kama alivyojaribu Mrema. Tunataka kuona upinzani unajenga shule bora za kuigwa japo moja kila mkoa kwa kuanzia, tunataka kuona upizani unaanzisha viwanda vya mfano, ambavyo watasema haya ndio mnayakosa kwa kuichaguwa CCM.
cjakuelewa labda ufafanue vzur zaidi..hakuna nini vile?
Ndiyo maana naamini 100% hii id huwa mnatumia watu wengi maana consistency katika michango yako hakuna. Jana nimesikitika sana kuona ofisi za kitengo fulani kilicho chini ya wizara ya kilimo kikifungiwa ofisi zao na maafisa wa shirika la nyumba kwa kushindwa kulipa milioni 30 kodi ya pango ya miezi 15........yaani serikali inashindwa kulipa milioni 30? hivi kodi zetu zinatumika kwenye nini?Kitu kimoja kizuri sana ambacho kitaiendeleza Tanzania ni kuwa na upinzani wa kweli, hiyo ni faraja na neema kwa kila Mtanzania, lakini si upinzani kama wa CHADEMA, upinzani wa kuongelea watu badala ya sera.
Kwa kuwa Tanzania bado ni mwanjo mwanjo katika siasa za vyama vingi, kila mtu anawaona magamba kwa sasa wamaana sana kwa kuwa wanachokiona ni wao kwa mara ya kwanza ndio hicho cha kuongelea watu, Watanzania ni kama vipofu tilioona punda. Lakini, kizuri ni kuwa watu wameshaanza kujuwa siasa maji taka ni nini na siasa za maendeleo ni nini, siasa maji taka ni turufu ya ya garasa, turufu ya mali ni siasa za kuleta maendeleo kwa vitendo. Hakuna mpaka sasa chama pinzani kilichoonesha haswa namna yakutatuwa matatizo yanayomkabili Mtanzania kila siku, wapinzani kila kukicha, Rostam, Kingunge, Makamba, Januari, Februari. Ni nini hii?
Tunataka kusikia upinzani umeingia ubia na kampuni la kufuwa umeme wa bei poa, kama alivyojaribu Mrema. Tunataka kuona upinzani unajenga shule bora za kuigwa japo moja kila mkoa kwa kuanzia, tunataka kuona upizani unaanzisha viwanda vya mfano, ambavyo watasema haya ndio mnayakosa kwa kuichaguwa CCM.
Leo upinzani umekazana Rostam, Rostam, Rostam, Rostam. Huyo Rostam amekuwa mkubwa kuliko upinzani wote, anatisha kwa kutukuzwa na upinzani, kama mnajuwa ana madhambi mbona hatuwaoni mkampeleka mahakamani? au mnaogopa atawaadhiri kama alivyomwadhiri Mtikila?
Hakuna wa kusifiwa kwa kuuboresha upinzani katika Tanzania kama Kikwete, yeye ndio alioahidi kuikuza demokrasi na kweli anafanya hivyo, kwa wengine hatuoni ajabu, ila tunachostaajabu tunapoona upinzani umepewa fursa kubwa sana katika awamu hii lakini hawazitumii ipasavyo, wao wamebaki na ngonjera za Rostam.
Kitu kimoja kizuri sana ambacho kitaiendeleza Tanzania ni kuwa na upinzani wa kweli, hiyo ni faraja na neema kwa kila Mtanzania, lakini si upinzani kama wa CHADEMA, upinzani wa kuongelea watu badala ya sera.