CCM yaanza kulamba matapishi yake

CCM yaanza kulamba matapishi yake

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
4,498
Reaction score
4,685
Wasalaam, tunapoelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwakani naona viongozi wa CCM na WABUNGE wake wameanza kulamba chakula walichokula wakavibiwa Kisha kukitabika.

WABUNGE na viongozi wa CCM WALIPITISHA KIKOKOTOO katili dhidi ya watumishi wa umma huku wao wakichukua asilimia Mia ya mafao yao na kufurahia maisha.

Leo hii inashangaza WABUNGE walewale na viongozi walewale wa CCM wanawaona wadanganyika ni mazombi wanapiga kelele eti KIKOKOTOO kinaumiza watumishi wa umma km sio utapeli wa kisiasa ni Nini? Na wanafanya hivi ili waonewe huruma kwenye sanduku la KURA na hao hao watumishi wa umma, Hii ndo Tanganyika bwana bado ahadi za mei mosi
 
Bado unawaamini Wanasiasa, wanaopenda kujitekenya na kucheka wenyewe.
 
Wasalaam, tunapoelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwakani naona viongozi wa CCM na WABUNGE wake wameanza kulamba chakula walichokula wakavibiwa Kisha kukitabika.

WABUNGE na viongozi wa CCM WALIPITISHA KIKOKOTOO katili dhidi ya watumishi wa umma huku wao wakichukua asilimia Mia ya mafao yao na kufurahia maisha.

Leo hii inashangaza WABUNGE walewale na viongozi walewale wa CCM wanawaona wadanganyika ni mazombi wanapiga kelele eti KIKOKOTOO kinaumiza watumishi wa umma km sio utapeli wa kisiasa ni Nini? Na wanafanya hivi ili waonewe huruma kwenye sanduku la KURA na hao hao watumishi wa umma, Hii ndo Tanganyika bwana bado ahadi za mei mosi

Ni ngumu sana kumpata mbunge mwenye akili, mkweli wa nafsi na mwadilifu kupitia CCM. Wote wapo pale baada ya kupita kwenye njia chafu za uovu. Mtu mwovu tangu lini akafanya jambo kwa dhamira njema?
 
Wajinga hawa wanaona tunaepekea kwenye uchaguzi,pia haya yote watasingizia jeipiem wakati wao ndo walikipitisha bungeni,pumbavu kabisa
 
Wasalaam, tunapoelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwakani naona viongozi wa CCM na WABUNGE wake wameanza kulamba chakula walichokula wakavibiwa Kisha kukitabika.

WABUNGE na viongozi wa CCM WALIPITISHA KIKOKOTOO katili dhidi ya watumishi wa umma huku wao wakichukua asilimia Mia ya mafao yao na kufurahia maisha.

Leo hii inashangaza WABUNGE walewale na viongozi walewale wa CCM wanawaona wadanganyika ni mazombi wanapiga kelele eti KIKOKOTOO kinaumiza watumishi wa umma km sio utapeli wa kisiasa ni Nini? Na wanafanya hivi ili waonewe huruma kwenye sanduku la KURA na hao hao watumishi wa umma, Hii ndo Tanganyika bwana bado ahadi za mei mosi
CC Lucas Mwashambwa na Janeth Thomson Mwambije
 
Watadanganya wajinga tu tena zama hizi za mitandao watanzania wajinga wanapungua kila siku. Esther Bulaya kwa hili la kikokotoo huyu dada apewe maua yake. Ndiye mbunge peke yake aliyepinga ubovu wa kikokotoo toka siku ya kwanza mpaka leo hii. Hao wabunge wengine walikipitisha kwa mbwembwe na bashasha na waligonga meza kweli kweli wakasahau kuwa usiku wa deni hauchelewi kukucha haya sasa 2025 hiyo inafika. Ni zamu sasa kwa wafanyakazi walio makazini na wastaafu kugonga kura maana wao hawana meza za kugognga kama wenzao bungeni.
 
Wakati wa kupitisha mishwada mibovu wanafunikwaga na kupofushwa na bahasha za kaki
Eti imetoka kwa mwenyekiti ametambua mchanho wenu mkakamilishe kazi bungeni kesho
 
Back
Top Bottom