Tendo la ndoa sio kwa starehe

Duu basi Ibrahim atakuwa alikuwa anafanya kwa siku mara saba ili apate mtoto, huyu sidhani kama hiyo principal ili apply kwake
 
Tena mi kipindi cha period nampaga babe wangu a swim kwenye red sea..!! ๐Ÿ˜œ
Cha kufia na ashki nini na bwana ninaye na natamba naye..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
apo kwenye period kaa mwenyewe mi siwezi peana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ila huko kwingine ni humuu tuu,,ivi huyu anaongea niniii au hajui mshindo ni niniiiiiiii aaaarrrggghhh ananikwazaaaa
 
Pale paulo kwa wkoritho,
Vitabu vya mithali
Na vingine vinaposema kunywa maji ya kisima chako mwenyewe ,usiende nje ya ndoa,
Wanaposema mpeane msinyimane,
Wanaposema usizini
Wanaposema mke ampe mume haki yake
Je wanamaanisha kuziana tuuu?
TUMIA AKILI VIZURI
Kama kwaajili ya kuzaa tu basi Mungu asingeliweka siku salama na siku za hatari,
Wala nyonyo miaka ya ukoloni zisingepata jina juu ya uzazi wa mpango,
Wala maandiko yasingesema habari hzi za kupeana bila kunyimana
 
Tendo la ndoa ni starehe inayopaswa kufurahiwa na wanandoa tu! Halipaswi kufanywa na watu wasio ndani ya ndoa!
 
Soma na version nyingine za biblia kwa lugha nyingine utaelewa zaidi
 
apo kwenye period kaa mwenyewe mi siwezi peana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ila huko kwingine ni humuu tuu,,ivi huyu anaongea niniii au hajui mshindo ni niniiiiiiii aaaarrrggghhh ananikwazaaaa
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Ananiuiza kwani zinatoka nyingi?
Sa nifanyeje na mwili unatamani, nafsi inatamani..!! ๐Ÿคฃ
 
apo kwenye period kaa mwenyewe mi siwezi peana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ila huko kwingine ni humuu tuu,,ivi huyu anaongea niniii au hajui mshindo ni niniiiiiiii aaaarrrggghhh ananikwazaaaa
Hahahaha "mshindo" fuatilia ujue neno mshindo lilianza kuwa maarufu miaka ipi hasa kwa wanawake
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Ananiuiza kwani zinatoka nyingi?
Sa nifanyeje na mwili unatamani, nafsi inatamani..!! ๐Ÿคฃ
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Ananiuiza kwani zinatoka nyingi?
Sa nifanyeje na mwili unatamani, nafsi inatamani..!! ๐Ÿคฃ
hata zitoke kama punje ya ulezi mimi hapana,,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚nabaki na hamu zangu,,ila nikimaliza lazima nifidie dadeqiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ