Tendo la ndoa nadra: Unyanyasaji wa Kike..?

Tendo la ndoa nadra: Unyanyasaji wa Kike..?

Yaani nimesoma katika thread moja hapa nimeshangaa. Samahani Mods kama nitakuwa nimekosea basi hii naomba iunganishwe na ile ya nyumba ndogo nilikotoa hili swali.

Hivi mwanamke ambaye umeolewa na mwanaume unayempenda kwa moyo wako wote unawezaje kumnyima mwenzio kwa zaidi ya mwezi? Mara moja moja nitaelewa ila zaidi ya mwezi? as in 30+ days na huku mwalala kitanda kimoja?

Mimi hainiingii akilini labda kwa kuwa sijaolewa but mh!! Inawezekana kweli?
Kuna mke wa mtu namfahamu hajampa mumewe huu mwaka wa tatu, kisa mume alikuwa na hawara wa nje ya ndoa na mke anasema anaogopa kuambukizwa magonjwa ya zinaa.
 
Kwakulala na ma jeans inawezekana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mke wa mtu namfahamu hajampa mumewe huu mwaka wa tatu, kisa mume alikuwa na hawara wa nje ya ndoa na mke anasema anaogopa kuambukizwa magonjwa ya zinaa.
Ukatili huo
 
But hivi si ni vitu vya kuongea tu na kusawazishana? Sasa mpaka iwe kwa mbinge kupeana haki ya ndoa?.. Tena mlalamikaji pale alisema kuwa akimgusa mamsap huwa ni ugomvi wa kufa mtu hadi yeye mwenyewe anajuta kwa nini kamgusa jamani? Sipati picha kwani mimi huwa naamini kuwa mwenzio akikosa raha hata wewe utakuwa huna raha kumbe nakosea!!
Usiombe kukutwa na bwana pepsi aisee, hilo swala liliwahi nitokea. The feeling is very odd!
 
Hakuna penzi zuri kama la kihawala hawala unajinafasi kwa kuibia ibia.......yaani alafu linadumu balaaa siku nenda rudi watu mnaenjoy.
Dah, sijui kuna siri gani katika hili ila in most cases hawara ameonekana anogaga kuliko mke aliewekwa ndani.

Huwa wana meet expectations zetu mara nyingi, yale mapenzi unayoyaota ndio yote utayakuta kwa hawara, hachoki kukubembeleza, hachoki kukukirimu na kukupa utamu, hachoki kuonesha upendo kwako na hawara huwa hakususii wala kukuziria hata siku 1, hawara hanaga excuse wala ulalamishi.

Naimani tunaoa ili tupate yote hayo ila too bad kuyapata kwa mke lazima kuambatane na masimango na kero kibao. So hapo ndipo hawara anapopenyea.
 
mh jamani saa nyingine pia ni wanaume mimi nimewahi kukaa muda sana mume wangu hataki kunitimizia haja yangu najitahidi kufanya mambo yote but hana muda kila wakati yupo busy na shughuli zake mara anasema usimguse amechoka mh kweli saa nyingin wanawake tunanyanyasika pia sana sasa mtu amekuoa uende wapi?ndo mwanzo wa sisi wanawake kutoka nje ya ndoa zetu wanaume pia munatusukuma sisi tutoke nje ya ndoa zetu,wanaume wanajali wanawake wa nje sana kuliko wake zao matokeo yake hana hamu hata na wewe mkewe unaelalal nae,sijui tuwafanyaje wanaume ili waridhike,unajua kumtimizia mkeo haja yake kunapunguza matatizo mengi ndani ya ndoa!jamani mutujali wanawake kwa hili
Sawa Kima, ntajitahidi kutimiza haki yako ila jirekebishe, punguza lawama na kero zingine ili niwe na hamu ya kukurukia. Kelele zikizidi ni kero mjengoni ndio maana najimalizaga kwa Anifa kule!
 
Mimi kuna ninaowafahamu wamenyimana mwaka mmoja uliopita na matokeo yake mume ametafuta kidosho wa nje kumtuliza mzuka,sasa ngoma imerudi kwa mkewe eti anadai mume wake siku hizi hana habari naye!
Mwanamke anaemnyima K mumewe ili amkomoe namuonea huruma sana. Unless otherwise jamaa awe marioo! Ila kama ni Gudume Gwa mbegu lazima aandike maumivu tu!
 
Yaani nimesoma katika thread moja hapa nimeshangaa. Samahani Mods kama nitakuwa nimekosea basi hii naomba iunganishwe na ile ya nyumba ndogo nilikotoa hili swali.

Hivi mwanamke ambaye umeolewa na mwanaume unayempenda kwa moyo wako wote unawezaje kumnyima mwenzio kwa zaidi ya mwezi? Mara moja moja nitaelewa ila zaidi ya mwezi? as in 30+ days na huku mwalala kitanda kimoja?

Mimi hainiingii akilini labda kwa kuwa sijaolewa but mh!! Inawezekana kweli?
Kumbe bado mtoto?!....,maswali ya watu wazima hayo kwahiyo subiri uolewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mke wa mtu namfahamu hajampa mumewe huu mwaka wa tatu, kisa mume alikuwa na hawara wa nje ya ndoa na mke anasema anaogopa kuambukizwa magonjwa ya zinaa.
Dada Faiza wewe binafsi unaweza kumnyima mumeo kwa kosa kama hilo?

Maendeleo hayana chama
 
Waziri wa Sheria kasema tendo la ndoa ni hiyari
 
Tena nnampa talaka kabisa.
unakua na uhakika gani kama kweli amekusaliti au ni hisia tu?
Nnavyojua mimi katika sheria ya dini kumtuhumu mtu kwa jambo hilo yapaswa kua na mashahidi watatu na tena wawe wameshudia mubashara hilo tendo linavyofanyika.

Uliyosema ni sawa ila umesahau "au akiri" aliyetenda mmoja wapo.
 
Uliyosema ni sawa ila umesahau "au akiri" aliyetenda mmoja wapo.
Wewe unafikiri mwanaume anaujasiri wa kukiri kua kafanya?
sisi hua tunakana hata tukikamatwa redihendedi.

Maendeleo hayana chama
 
Wewe unafikiri mwanaume anaujasiri wa kukiri kua kafanya?
sisi hua tunakana hata tukikamatwa redihendedi.

Maendeleo hayana chama
It takes two to tango.

Unaongelea mwanamme tu, umesahau zinaa haifanywi na sabuni.
 
It takes two to tango.

Unaongelea mwanamme tu, umesahau zinaa haifanywi na sabuni.
Sheria ya dini hailazimishi mmoja akikubali basi na mwingine hukumu itasimama juu yake hata akikataa.
wewe unaweza kukubali lakini mimi nikakataa na utawajibishwa wewe peke yako uliokubali.
mazingira ya kumshutumu mtu kua amezini ni magumu sana sio rahisi kama jinsi unavyodhani.

Maendeleo hayana chama
 
Back
Top Bottom