shost wakati naolewa nilimpenda mr kupitiliza mpk nilipungua, nikifikria kuibiwa, yani nilikuwa nataka awe wangu peke yangu, kumbe wako ni mpaka umchonge mwenyewe! hapo nakuonyesha kwamba mapendo ya leo sio ya kesho! nilikaa na mr miezi kadhaa bila sex, aliokotwa na kimada huko man akirudi home ni kulala fofooo ukimgusa anageukia upande wa pili, nilipokuja kugundua kinachompa kiburi, alishangaa akija nimelala, analala kunakucha, miezi ikaenda, bila kumuuliza la kheri wala shari, mbona alijirudi mwenyewe tu but kwa mie mapenzi yakawa yamepungua sana, mtu unaempenda/uliempenda kwa moyo wako wote anakutenda inaumiza, ndio mana napendaga kuwashauri watu kama nyie jamani kuleni raha shost mkishaingia ndani mambo yanabadilika to the maximum, utajiuliza mabadiliko bila kupata jibu! kula raha ingia ndani pambana,mana unaweza pitisha mwaka bila huduma lcha ya miezi.