Inawezekana kutokana na sbb mbalimbali mfano mume ni msaliti..hamu ya kumfurahisha inakata kabisaaaYaani nimesoma katika thread moja hapa nimeshangaa. Samahani Mods kama nitakuwa nimekosea basi hii naomba iunganishwe na ile ya nyumba ndogo nilikotoa hili swali.
Hivi mwanamke ambaye umeolewa na mwanaume unayempenda kwa moyo wako wote unawezaje kumnyima mwenzio kwa zaidi ya mwezi? Mara moja moja nitaelewa ila zaidi ya mwezi? as in 30+ days na huku mwalala kitanda kimoja?
Mimi hainiingii akilini labda kwa kuwa sijaolewa but mh!! Inawezekana kweli?
Mapenzi ya kuibia siku zote ni mazuri...hana majukumu mazito ya kifamilia kama ya mke...hamuonani mara kwa mara hivyo u miss each otherDah, sijui kuna siri gani katika hili ila in most cases hawara ameonekana anogaga kuliko mke aliewekwa ndani.
Huwa wana meet expectations zetu mara nyingi, yale mapenzi unayoyaota ndio yote utayakuta kwa hawara, hachoki kukubembeleza, hachoki kukukirimu na kukupa utamu, hachoki kuonesha upendo kwako na hawara huwa hakususii wala kukuziria hata siku 1, hawara hanaga excuse wala ulalamishi.
Naimani tunaoa ili tupate yote hayo ila too bad kuyapata kwa mke lazima kuambatane na masimango na kero kibao. So hapo ndipo hawara anapopenyea.
Dawa ni kutafta chanzo cha nyie wawili kutofanya hilo tendo haianzi ghaflaDawa yao hawa ni kuoa mwenzake tu, mtu anakunyanyasa na kitu akiwa anajua huna pa kukipata zaidi ya kwake, lakini akiwa anajua unacho kingine cha halali kabisa.. Maringo kwisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini analaumu na kuna kelele nyumbani?.Sawa Kima, ntajitahidi kutimiza haki yako ila jirekebishe, punguza lawama na kero zingine ili niwe na hamu ya kukurukia. Kelele zikizidi ni kero mjengoni ndio maana najimalizaga kwa Anifa kule!
Wanawake wengi wana asili ya kupenda kubwata bwata hovyo. Katika 100 wanawake wapole ni kama 20% tu na ndio ambao wanaweza kukufanya uwe na amani always.Kwanini analaumu na kuna kelele nyumbani?.
Je hutimizi mahitaji sawia?
Msikimbie tatizo tafta suluhu kwanza
Hio asilimia based on what?...utafiti ama..Wanawake wengi wana asili ya kupenda kubwata bwata hovyo. Katika 100 wanawake wapole ni kama 20% tu na ndio ambao wanaweza kukufanya uwe na amani always.
Nagging about minor issues tu, mara hataki hiki anataka kile alimradi tafrani tu. Game kukupa anaona anakufanyia favors sasa mtu kama huyo unahangaika nae wa nini?
We unaonaje, mke akiwekewa lets say beki 3 wawili wafanye kazi zote yeye akae tu. Je, itamfanya atoe huduma kwa usahihi? Maana hata hawara pia hupika the same way mke anatakiwa kukupikia.Mapenzi ya kuibia siku zote ni mazuri...hana majukumu mazito ya kifamilia kama ya mke...hamuonani mara kwa mara hivyo u miss each other
Refer to law of demand and supply
Supply ikiwa ndogo demand kubwa
Ukimuoa hana tofauti na mkeo
Ni saikolojia nyepesi tu sijui kwanini hamuelewi
Trust me weka hawara at homeWe unaonaje, mke akiwekewa lets say beki 3 wawili. Je, itamfanya atoe huduma kwa usahihi. Maana hata hawara pia hupika the same way mke anatakiwa kukupikia.
You must be very matured lady. Hakika mawasiliano ndio solution ya matatizo yote hayo but je, ulienae ana same thinking as you? Mie tukikaa na wewe tunaweza elewana maana we all think positively on the same matter. Vipi asie muelewa ambaye kuyaongea kiutu uzima hataki anataka akutupie lawama tena kwa kufoka ikibidi!Hio asilimia based on what?...utafiti ama..
Mi naamini ktk mawasiliano btn couples ili kutafta suluhu na sio kukimbia matatizo...
Ukiassume what if ur wrong
True story uelewa bila upande wa pili kuwa muelewa ni zaidi ya shidaYou must be very matured lady. Hakika mawasiliano ndio solution ya matatizo yote hayo but je, ulienae ana same thinking as you? Mie tukikaa na wewe tunaweza elewana maana we all think positively on the same matter. Vipi asie muelewa ambaye kuyaongea kiutu uzima hataki anataka akutupie lawama tena kwa kufoka ikibidi!
😀😀😀😀😀 siri yangu nisije kukosa mema ya nchi humu
Best comment of the dayUkiona mke anakuzingua usikimbilie tu kulaumu kaa chini jitathimini wapi unakosea mwanamke ni mtu ambaye ni mvumilivu sn na mlopokaji pia na yale yote anayoropoka huwa ni yale unayomuudhi usipokuwa wa kujiongeza ukaoyatafakari maneno yake utaishia kuwa na vimada nje huku na ww ukiendelea kuchapiwa na washikaji maana unavyoenda kumaliza matamanio yako nje kumbuka mwenzako naye ni binadamu akizidiwa unadhani nn kinafuata?huku social media huwa tunadanganyana sn mara oo ukiona anakuzingia mtafutie mwenzake utakayemtafuta akifika ndani atabadilika tu hiyo hela unayochezea kwa vimada na vibenten kanunue tofali nyanyua msingi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] siri yangu nisije kukosa mema ya nchi humu
Used to have a woman who nags. Unamuongelesha kitu anasema mbona unaongea kiukali hivyo. Mara zote anataka arguments tu. Mnaongea kidogo analizua mpigizane kelele ndio anaskia raha sijui.True story uelewa bila upande wa pili kuwa muelewa ni zaidi ya shida
Lakini uzuri wa uelewa utajua hamko same page na mwenzio kama unampenda unavumilia kama humpendi unachukua goma jipya siku zinaenda
We vipi uko ready to mingle au ndio goma la trey songs?
People are troubled basi tu...i nag and argue sometimes..when the Man ignores me...i love attention and his companyUsed to have a woman who nags. Unamuongelesha kitu anasema mbona unaongea kiukali hivyo. Mara zote anataka arguments tu. Mnaongea kidogo analizua mpigizane kelele ndio anaskia raha sijui.