MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
Yaani nimesoma katika thread moja hapa nimeshangaa. Samahani Mods kama nitakuwa nimekosea basi hii naomba iunganishwe na ile ya nyumba ndogo nilikotoa hili swali.
Hivi mwanamke ambaye umeolewa na mwanaume unayempenda kwa moyo wako wote unawezaje kumnyima mwenzio kwa zaidi ya mwezi? Mara moja moja nitaelewa ila zaidi ya mwezi? as in 30+ days na huku mwalala kitanda kimoja?
Mimi hainiingii akilini labda kwa kuwa sijaolewa but mh!! Inawezekana kweli?