Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,021
- 9,177
Waandishi gani? Kibonde? Au wale wa Habari Leo? Au yule Ag Managing Editor wa Daily News waliyempiga kibuti?
Pasco.
Waandishi gani? Kibonde? Au wale wa Habari Leo? Au yule Ag Managing Editor wa Daily News waliyempiga kibuti?
The same applies to Bandari ya Bagamoyo, Can we get the answers to the very questions
Naomba kutumia model ya ile Tenda ya Bandari
1. Ilitangazwa lini-Hikutangazwa
2. Consultant alikuwa nani?-CCCC
3. Estimates zake zinasemaje? zilianza Dola milioni 360 cha juu cha nanii na nanii ikafika 460-560 hadi 660
4. Tenda ilitangazwa na idara zipi za serikali?-Haikutangazwa
5. Kampuni ngapi ziliomba hiyo tenda?-moja CCCC
6. Majina ha hizo kampuni zilizoomba yako wapi?-CCCC
7. Evaluation team ya hiyo tender ilihusisha akina nani? -Wataalamu walipekwa China na CCCC
8. Pre qualification stage zilipita kampuni ngapi?-1 CCCC
9. Zilizoshindwa zilitolea kwa vigezo vipi? Hazikuwepo
10 .Technical specs za huu mradi ni zipi?-ziliandaliwa na CCCC
11. Financial specs za huu mradi mbona siri kubwa?-Ziliandaliwa na CCCC
12. Je kampuni ngapi za wana Mtwara zilihusishwa hata kwenye sub contracting?
13. jE mtwara development agency WALIHUSISHWAJE KWENYE HUU MPANGO?
14. hIZI TUHUMA ZA WATU KULA PESA cHINA NI KWELI? - ni uwongo!.
Hili la bandari CCCC ndio waliofanya feasibility study kwa ghara yao wenyewe!
CCCC wakatafuta funder Exim Bank
CCCC wakawa ndio wajenzi
CCCC wakaomba goverment guarantee wakapata!.
CCCC ndio wangerun mpaka utakapolipwa!.
Waziri Nundu akasmell a fish, akasimamisha kila kitu, wakamruka waziri, wakamtumia naibu waziri, government guarantee ikatoka bila kuombwa na waziri husika!. Waziri Nundu akamwaga ugali, JK akawatema wote, Mwakiembe ndie akamalizia kusafisha bandari.
Sasa ni zamu ya TPDC.
Pasco.
Wazushi ni wengi sana humu jamvini
Splendid indeed MKuu, hapo umenena - kama kuna Waswahili wanataka kufanya ujanja hapa na pale basi wachukuliwe hatua, lakini tusilahumu Wachina wholesale, bei za mabomba yenye diameter tofauti inajulikana, gharama za kutandaza bomba kwa kilometer moja inajulikana na hii inategemea mabomba yatapitishwa kwenye geographical formation ya aina gani, bei za pump na pump house za kusukumia gezi zinajulikana, gharama za usafirishaji wa mabomba kwa njia ya majini kutoka Uchina kuja hapa kwetu zinajulikana, logistic ya kusafirisha mabomba mpaka kwenye site zinajulikana, mtu ukiwa na information hii ni rahisi kuwakamata wajanja sasa tatizo liko wapi. Eti wachina wanaonga ili wapate miradi, watu wa magaharibi ni wa ajabu sana - Serikali ya Tanzania ndio ilikwenda kuomba mkopo kutoka kwa Wachina, sio mkopo tu walipewa na jukumu la kutekeleza project nzima mpaka mwisho, what's wrong with that if I may ask? Juzi Juzi hapa nilimsikia Waziri Mkuu wa Uchina Tigen-Ping akiseama wazi wazi kwamba kiongozi yeyote akikamatwa anakula rushwa anatwangwa risasi, na Wachina hawana utani katika hilo.
Mkuu sisi ndio tulikwenda wenyewe kuomba msaada CHINA tukawalilia hali, wakakubali kutoa mkopo kwa riba nafuu na grace periond nzuri - vile vile wenyewe ndio watafanya kila kitu sisi tunakabidhiwa mradi uliyo kamilika - Serikali ya Uchina haiwezi kuleta watu wababaishaji kwenye miradi inayo husu Serikali kwa Serikali, wanajuwa vizuri Kampuni zipi huko Uchina za kutekeleza mradi kama huu wa kutandaza bomba na pump za kusukuma gesi.
Mbona watu wanawasakama Wachina sana, mbona tumewahi kushuhudia miradi ya ujenzi wa barabara unofadhiliwa na Wajapani lakini Wajapani wanaleta makampuni yao kujenga barabara mfano: Kajima na Konoike bila ya kutangaza tenda, si hilo tu hapo zamani Wajapani waliwahi kutoa fedha za kununulia mchele kwa mashariti kwamba ununuliwe Ujapan kwenyewe hili ni jambo la kawaida tu - why pick on CHINESE!!
Haya tuje kwa mradi wa kujenga Hydro Electric mto Rufiji/Stigler Gorge - Wabrazil watatoa pesa zao, Macontractors wao katika utekelezaji wa mradi huo, Brazil haiwezi kukubali kutoa fedha alafu sisi tujifanye kutafuta Ma-contractos kutoka nchi nyingine, mambo mengine hatuna jinsi mkuu.
Mwisho labda niseme kwamba kuna mradi wa kutandaza mabomba ya gesi huko Pakstani kama sikosei, wahusika wa mradi huu ni Wachina nafikili urefu wake hauna tofauti na huu wa kwetu, gharama za ujenzi na kila kitu hazizidiani na mradi wa hapa kwetu na kumbuka Pakstani hiko karibu na Uchina kijografia kuliko sisi - kuna baadhi ya watu wanafikili Wachina wamejipanga kutuibia?

Heshima yako mkuu, sisi tumekwisha timiza wajibu wetu kama wazalendo, uzuri Watanzania wengi ni wepesi ku-grasp mambo wakielimishwa vizuri, watakaa chini wa-digest tahadhali zote tulizo hanika humu. At the end of the DAY watapata picha kamili ni kitu gani kinajili behind the scene. God bless U mkuu.
Mkuu I can't disagree with you kwenye dunia ya leo ni vigumu kuibiwa bila kujijua ni Chief Mangungo tu na wenzake wa enzi hizo ndo waliibiwa hivyo otherwise kila wizi unaofanyika humu nchini lazima ufanywe kwa ridhaa ya viongozi wetu wasiokua na uzalendo hapo wanaotuibia sio wachina bali ni viongozi wetu na ndio maana ukiongelea swala la huu mradi wanakua wakali kama simba kwa mradi wa Pakistan kwa mfano utaona tofauti kubwa sana ya bei kule bei ni wastani wa 1.2M usd per mile na bomba lao ni la kipenyo kikubwa na linapitia kwenye maeneo magumu kijiografria wakati sisi huku linapita mchangani tu na ni almost 3M usd per mile huu ni wizi wa wazi kabisa na unaweza kuta wachina walitoa genuine estimates lakini wakubwa hapa wakaweka cha juu kama kwenye mradi wa upanuzi wa bandari
Nadhani mkataba ulisainiwa chumbani somewhere huko China kwenye lijihoteli.
Sasa sijui wanaume wazima wasaini mikataba kwa usiri vyumbani huko ugenini!
Makalio yao yalisalimika kweli????[wamefanyiwa mchezo mbaya hao hawakusalimika wameliwa utamu
.Ahsante kwa majibu ya Ukweli
Nina imani Pasco utanijibu swali langu moja tu.
Baada ya hayo yote kujibiwa kama ulivyojibu Je TAKUKURU hawana uwezo wa kuhoji ukiukwaji mkubwa wa taratibu za manunuzi kama kama huu ulivyofanywa?