Tenda ya Bomba la gesi ya Mtwara

Tenda ya Bomba la gesi ya Mtwara

Andika barua kwa ikulu kulugenzi ya mawasiliano wataweza jibu hayo maswali
Au muulize mbunge wako
 
mchakato unaendelea wa kupata majibu ya maswali yako.
 
Ngoja nikupe hii story! mtoto wa mkulu alikamatwa na madawa ya kulevya huko china! ilikuwa anyongwe ila mkulu akaomba sana kuwa wasimnyonge ila atawapa hiyo kazi ya gesi!!!! kwahiyo hiyo ndio sababu!!!1
 
Methinks Kikwete, Kinana, Simbachawene, Muhongo, Majaar and other biggies know. Let them tell us how they were able to bend the law for their own evil interests. We need to know everything just now. Who did what and who got what why when and how much.
Tenda ya Bomba la gesi ya Mtwara
1. Ilitangazwa lini
2. Consultant alikuwa nani?
3. Estimates zake zinasemaje?
4. Tenda ilitangazwa na idara zipi za
serikali?
5. Kampuni ngapi ziliomba hiyo
tenda?
6. Majina ya hizo kampuni
zilizoomba yako wapi?
7. Evaluation team ya hiyo tender
ilihusisha akina nani?
8. Pre qualification stage zilipita
kampuni ngapi?
9. Zilizoshindwa zilitolewa kwa
vigezo vipi?
10. Technical specs za huu mradi ni
zipi?
11. Financial specs za huu mradi
mbona siri kubwa?
12. Je kampuni ngapi za wana
Mtwara zilihusishwa hata kwenye
sub contracting?
13. Je, Mtwara Development Agency
WALIHUSISHWAJE KWENYE HUU
MPANGO?
14. Hizi TUHUMA za watu kula pesa
China ni kweli?
 
kuna jamaa anadandia comments za watu na matusi juu kwa dr. Nasubili nione kama atasema chochote juu ya maswali haya.
 
Majibu yao ya kweli ni:SIJUI,SIKUMBUKI,SIYO MIMI,MUULIZE FULANI,KWANI WE WATAKAJE,NANI KAKUTUMA n.k

Majibu yao ya uongo ni:MBONA UNAJIFANYA UNAJUA?IKUSAIDIE NINI?UKIKAA KIMYA UTAPUNGUKIWA NINI?WEWE UNAUCHUNGU SANA NA NCHI HII?
 
Ngoja nikupe hii
story! mtoto wa mkulu alikamatwa na madawa ya kulevya huko china!
ilikuwa anyongwe ila mkulu akaomba sana kuwa wasimnyonge ila atawapa
hiyo kazi ya gesi!!!! kwahiyo hiyo ndio sababu!!!1

Bangi mbaya sana!
 
By Mchaka Mchaka View Post Ngoja nikupe hii story! mtoto wa mkulu alikamatwa na madawa ya kulevya huko china! ilikuwa anyongwe ila mkulu akaomba sana kuwa wasimnyonge ila atawapa hiyo kazi ya gesi!!!! kwahiyo hiyo ndio sababu!!!1 Huo ndo ukweli wa mkataba tata wa gas, message sent and deliverd.
 
Daa!yaani mkulu kafanya barter trade kat ya RZ vs MASLAHI YA MAMILION YA WATANZANIA!lol!
 
prince riz anatusababishia dhahama kubwa kwenye hii gas kutona na lile sakata lake la unga.
 
1. Ilitangazwa lini

2. Consultant alikuwa nani?

3. Estimates zake zinasemaje?

4. Tenda ilitangazwa na idara zipi za serikali?

5. Kampuni ngapi ziliomba hiyo tenda?

6. Majina ha hizo kampuni zilizoomba yako wapi?

7. Evaluation team ya hiyo tender ilihusisha akina nani?

8. Pre qualification stage zilipita kampuni ngapi?

9. Zilizoshindwa zilitolea kwa vigezo vipi?

10. Technical specs za huu mradi ni zipi?

11. Financial specs za huu mradi mbona siri kubwa?

12. Je kampuni ngapi za wana Mtwara zilihusishwa hata kwenye sub contracting?

13. Je, Mtwara Development Agency WALIHUSISHWAJE KWENYE HUU MPANGO?

14. Hizi TUHUMA za watu kula pesa China ni kweli?

Machozi ya samaki huishia baharini
 
Ulaji wa watu, ila ni kweli tunaitaji gesi Dar, natumaini kutakuwa hakuna chembe ya rushwa hapa, thats my "wishful thinking".....
 
When there's no LAW there's no OFFENSE. Tutajiuliza maswali mengi wee lakini hakuna kifungu chochote cha sheria kinachoweza kuwabana hawa mafisadi, tena ndio kwanza wanaona wanachofanya ni sawa na wanalisaidia taifa hili wanastahili kupongezwa.
Watanzania tutajilaumu sana, tumeingizwa kwenye sera ya uwekezaji bila kuujua uwekezaji na sasa tunaona tunavyoibiwa. Wanamtwara wameliona hili na ndio maana wanahoji hawapatiwi majibu ya kuridhisha, hata hivyo hawana nguvu ya kisheria ya kubadilisha maamuzi yaliyofikiwa badala yake serikali inawatumia polisi kuwaua badala ya kuwasaidia vijana wao wapate ajira kwenye rasilimali zinazowazunguka.
 
kwa nini waandishi wetu hawaulizi haya maswali kwa wahusika?

Ama uwoga au hawana uwezo wa kufanya investigative journalism. Labda tumuajiri Mohammed Ali wa jicho pevu(aliyekua mwandishi wa citizen,sasa yupo ntv)
 
Kwa ufupi kama mnakumbuka ilikuwa tugawane na mwekezaji 50% to 50% cha ajabu baada ya mtoto wa mfalme kukamatwa condition zimebadilika ni Wadanganyika tutapata 20% na mchina anapata 80% na ndivyo Jk alivyosainishana kumwokoa Prince

In the planet, this only happens in Tanzania!
 
Back
Top Bottom